Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Wamekulamba Kifungo sasa umegeuza Chupi!
Kkkkkkkk.

Unatuwekea Picha ya mzungu halafu unamuita Mungu!
We ndio mbulumundu kweli kweli
Imams and Islamic Scholars from all Islamic Countries accepting the Lord Jesus Christ!
 
Last edited by a moderator:
 
Allah is not the God of the Bible. 1 John [URL="http://.





[/COLOR]

Anti christ is POPE and her Followers like yourself.

Introducing GAY CHURCHES and LESBIAN business inside the CHURCHES.
Check this out.

https://www.christianconnection.com...dating_sites&gclid=CPXk0d_w7sECFcfMtAodyWAAYg

https://christiangays.com/


https://www.gaychristian.net/

http://christiangaysdating.com/

And the list Goes on.

This is the Teaching of vatican Bible.
Thats why POPE refuse To Condemned those BUM BUM Cureers!.

I think you are on the club too!
 
Jina Yesu linamaana, sasa Isa ndio nini!? 2013 amejibu vema nimeona...

Ni nani Aliyempa Hilo JINA LA Yesu huyo mungu wako?

Nipe ANDIKO kutoka kwenye BIBI LIA linalosema Huyo unaemuabudu ALIPEWA jina La YESU na mama Yake au HUYO Umuitae BABA YAKE!
 
Last edited by a moderator:
Hivi unaelewa Biblia ni nini!? nimpigie simu Musa kwani nataka kwenda kuchukua swala!?

Ndio utambue Gabriel hana tabia ya kukaba watu kama Jibril alivyofanya...
Nataka yale maelezo ulete ya Muhammad akimsimulia Waraqa kwamba alikutana na malaika halafu ndio Waraqa akamuuliza swali kama unavyodai... Ni Waraqa ndiye aliyemwambia Muhammad yule ni malaika...

Alikuwa na translate Gospel ya Jesus kwa lugha ingine, nadhani umefahamu sasa.
Kutoka lugha ipi kwenda lugha ipi!?

Ulisema quran ilishushwa pangoni, maana wewe ni bingwa wa kumzulia Allah uwongo, sasa hivi umegeuka unasema Sura...
Kwani kati ya quran na Injili ipi iliyotangulia!? mbona mnajifanya mnamjua Yesu mnazareti sana... nyie mnamjua Isa zaidi...
 
tuanze na maana ya YESU na mm nikupe ushahidi KUNTU kuwa issa au YESU ni Mwekunduu... Haya nipe Maana ya Yesu!
Jina la Yesu lilikuwa jina la kawaida la kiyahudi, linaonekana katika lugha ya kiyunani ya agano jipya likiwa sawa na jina la Yoshua la kiebrania katika agano la kale, Maana ya jina hili ni mwokozi wetu na hivyo lilifaa kuwa jina kwa yeye ambaye angeokoa watu wake kutoka dhambi zao...

Mathayo 1:21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
 
Ni nani Aliyempa Hilo JINA LA Yesu huyo mungu wako?

Nipe ANDIKO kutoka kwenye BIBI LIA linalosema Huyo unaemuabudu ALIPEWA jina La YESU na mama Yake au HUYO Umuitae BABA YAKE!
Amma wiladat YASUA L-MASIH fakqanat hakadhaa lamma koana maryamo Ummuhu makhoobatan liyusufu kabla an-yajita-a wujidat hula min, roho L-Qudus. Faysufu rajulaha idh-kana barrawalamyashaa-a an-yosh-hiraha aradaalch -liytahasira. Wallakin fiyma howa moafakar hadhihi L-umuri Idha malaka rrabi ad dhurahara lahulit ho-mi Qaailanyaa Yusuf ihn Dawod laakhat an ta-akhudhu mar-yam am-ra-ataka lianna ladhiy hobilabih fiyna howa mi nal-roho L-Qudus. Fastalida Ibna watd-udu Ismuhu YASUA linoho sha-a-babo min khatwayao him.

Utaanzia Mathayo 1:18-21, Lakini ngojea nikuwekee kwenye point yako unayohitaji... huu hapa mstari

Mathayo 1:21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
 
Maswali kuhusu Yesu ni nani yanajibiwa vizuri na Mwislam aliyekubali kuitafuta kweli. Marafiki Waislam tutafakari pamoja kwa upendo.

mi nakuhoji ww unipe maana ya Jina Yesu!
 
Last edited by a moderator:
why did your Vatican Gay Leaders wiped off the Story of Magdalena Wife of Jesus crucified and their daughter in the bible?

Why you Kuffar always Change things to manipulate innocent galatian.?

Mkuu naomba uniwie radhi kama naenda nje ya mdaharo wenu
Nina dada yangu ambaye ni mkristu, amepanga kwenye nyumba moja hivi ya muslim, mwaka huu mwanzoni alijifungua mtoto wa kike nikaenda kumuona hapo alipopanga, nikawakuta wapangaji karibia wote(all of them are muslim) pamoja na mzee mwenye nyumba, mstaarabu sana huyu mzee (maybe for outward appearance)
Huyu mzee aliongea kauli moja ambayo hadi leo huwa najiuliza kama ina ukweli au laa
Ninam,QUOTE, "WATOTO WOTE HUZALIWA MUSLIM, LAKINI WAKRISTU HUWABATIZA ILI KUWAVIKA DINI YA UONGO"
Can you tell me how much this statement is true???
i'm not christian, i'm not muslim, don't call me atheist please because i beleave in one GOD

.made in mby city.
 

Mkuu kwa uelewa wangu mdogo tu, hapo hakuna ukweli au watuambie wapagani wrote ni waislamu
 
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo tu, hapo hakuna ukweli au watuambie wapagani wrote ni waislamu

Na kwann Mkristo asipo batizwa Na akafariki kwann hamumziki kama wakristo wengne? JIBU KWA KIBIBLIA... Wap wamesema mtu asipo batizwa si Mkristo ukishajibu Jiulzeee WAPAGANI msingi wao wa imani uko vp? Wanaamin mungu au la?? Na walizaliwa hvyo au walijifunza
 
Yesu wakati anakufa msalabani , alisema "ewe mungu wangu mbona unaniacha"
Halafu mtu na akili zake anasema yesu ni mungu kweli kukariri ni kitu kibaya sana
 

Mkuu kutokana na mabandiko yako kazaa kwenye huu uzi, nimetambua kuwa una knowledge/ujuzi/ uelewa juu ya masuala ya dini ya kiislam
Naomba unijuze juu ya hilo swali hapo juu
I'm not christian, i'm not muslim, don't call me atheist because i beleave in one GOD

.made in mby city.
 

You believe in oneness of GOD so ur Muslim..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…