Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,346
Hujajibu swali la kwanza unaleta lingine
Tukio la kuwatawadha wanafunzi wake miguu lilifanyika wapi?
Hilo uliloletea ni lingine na halihusiani na lile la kwanza,tumalizane kwanza kwenye lile la kwanza halafu ndio tuje kwenye hili!
Nimekuelewa Eiyer.
Jibu kwamba ni wapi Yesu anafanyahivyo (kuwatawadha wanafunzi wake) tunalipata:
Yohana 13: 4
Basi, Yesu
aliondoka mezani,
akaweka kando vazi lake,
akachukua kitambaa na
kujifunga kiunoni.
Hiyo inamana alikuwa tu ktk nyumba.
Kuna kitu naomba nikukumbushe.
Hichi tunachojadili kwa post hii ni mimi kuonesha Yesu ni Issa na ni Muislamu.
Yohana 13: 5.
Yesu anatawadha wanafunzi wake.
My concern ni kwamba wanaotawadha ni waislamu na sio lazima mtu atawadhe kwa kwenda msikitini tu.
Nikakuuliza swali.
Wanaotawadha ni watu wa dini gani? Hukunijibu.
Nilipotoa Luka 4: 16, Inasomeka, Yesu anakwenda kuabudu kwenye sinagogi kama ilivyodesturi yake.
Mpaka hapo nakuthibitishia Yesu ni Issa na ni Muislamu.
Ndio maana nimekuuliza hivi:
1 nini maana ya sinagogi?
2 nini maana ya desturi?
...
Eiyer naomba ujibu maswali yangu kama ninavyojibu maswali yako.
Sijatoka ktk mada, bado nakazia pale pale.
Na natumai sasa utanijibu.
Go ahead...
