Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Hujajibu swali la kwanza unaleta lingine

Tukio la kuwatawadha wanafunzi wake miguu lilifanyika wapi?
Hilo uliloletea ni lingine na halihusiani na lile la kwanza,tumalizane kwanza kwenye lile la kwanza halafu ndio tuje kwenye hili!

Nimekuelewa Eiyer.

Jibu kwamba ni wapi Yesu anafanyahivyo (kuwatawadha wanafunzi wake) tunalipata:

Yohana 13: 4

Basi, Yesu
aliondoka mezani,
akaweka kando vazi lake,
akachukua kitambaa na
kujifunga kiunoni.

Hiyo inamana alikuwa tu ktk nyumba.

Kuna kitu naomba nikukumbushe.
Hichi tunachojadili kwa post hii ni mimi kuonesha Yesu ni Issa na ni Muislamu.

Yohana 13: 5.
Yesu anatawadha wanafunzi wake.
My concern ni kwamba wanaotawadha ni waislamu na sio lazima mtu atawadhe kwa kwenda msikitini tu.

Nikakuuliza swali.
Wanaotawadha ni watu wa dini gani? Hukunijibu.

Nilipotoa Luka 4: 16, Inasomeka, Yesu anakwenda kuabudu kwenye sinagogi kama ilivyodesturi yake.

Mpaka hapo nakuthibitishia Yesu ni Issa na ni Muislamu.

Ndio maana nimekuuliza hivi:

1 nini maana ya sinagogi?

2 nini maana ya desturi?

...
Eiyer naomba ujibu maswali yangu kama ninavyojibu maswali yako.

Sijatoka ktk mada, bado nakazia pale pale.

Na natumai sasa utanijibu.

Go ahead...
 
Huu uongo umeuweka hapa maksudi au hujuo hata Allah ni nini?

Neno Mungu kwa kiarabu sio Allah ni kwanini unadanganya watu hapa kuwa Allah ni God kwa kiingerez?

Allah ni jina ambalo halina tafsiri,Mungu kwa kiarabu ni Ilah hiyo Allah kuwa ni Mungu imeanza lini?
Naona hujui unacho ongea wewe, afu nashangaa unajifanya kama huna akili sa zingine unaelewa na unajidai huelewe FYI; Ilah= deity.
Allah=God, hata mkijidai kuwadanganya watu mtanaswa tu, uislam haukutungwa, kama yale mashairi ya Paulo:A S wink:
 
Kabla sijakujibu,kama Mungu anaweza yote ni kwanini unapinga yeye kuwa binadamu?

Majibu ya swali lako
Hizo amri kumi Mungu alikuwa anampa nani?
Nani alikuambia Mungu alimuua Yesu?
Wapi biblia inakana kufa kwa Yesu?
Mungu kasha sema hakuna biandamu anaye weza kumuona, sababu -binadamu akisha muona haishi, ndio alivyo jibiwa Nabii Mussa.Exodus 33:17-20 he LORD said to Moses, "I will also do this thing of which you have spoken; for you have found favor in My sight and I have known you by name." 18Then Moses said, "I pray You, show me Your glory!" 19And He said, "I Myself will make all My goodness pass before you, and will proclaim the name of the LORD before you; and I will be gracious to whom I will be gracious, and will show compassion on whom I will show compassion."2o …But," he said, "you cannot see my face, for no one may see me and live." Sa nyie vipi mseme Yesu ni Mungu wangapi wamemuona Yesu na wameishi?
 
Hilo ni swali ambalo tayari nilishakuwekea majibu tayari

Mika 1:2-3
2 Sikilizeni, enyi watu wa kabila zote; sikiliza, Ee dunia, na vyote vilivyomo; Bwana MUNGU na ashuhudie juu yenu, yeye Bwana kutoka hekalu lake takatifu.
3 Kwa maana, angalieni, Bwana anakuja akitoka mahali pake, naye atashuka, na kupakanyaga mahali pa dunia palipoinuka.

Jibu hilo hapo Mungu anajibu swali lako ...

Hujaelewa sijasema Mungu ni mwanadamu ila nilikuuliza kama Mungu hawezi kuwa mwanadamu

Sasa Mungu anafungwa na chochote?

Sio Mungu aliyemuuwa Yesu,atahusikaje?

Hili swali ni la kijinga sana

Hivi wewe kuna mtu ambae anaweza kuwa chini halafu akawa mzima?

Lakini cha kushangaza ni kuwa hao ambao wamekukaririsha haya maswali wamekufanya uwe kama huutumii ubongo wako vizuri,unashindwaje kuona context kwenye alichokuwa anakizungumzia Yesu?

Kinachoonekana pale ni muda,yaani context kwenye habari ile ni muda wa siku ambazo Yona alikuwa ndani ya tumbo la samaki na sio hali ya Yona aliyokuwemo mule
Unapochukua kisichopo kwenye habari na kukiweka humo utaonekana wa ajabu sana

Hebu jaribu kutumia muda wako kusoma maandiko bila kuongozwa na watu ambao wanawafanya wajinga [kutokujua] bila sababu ya msingi!

Hahahahaaa.
Eiyer kasome bible ndugu yangu. Yaani mpaka leo hujui kama Yona hakufa alipokuwa tumboni siku tatu!!!!

Then umeambiwa kizazi kibaya na kisicho na uaminifu chatafuta ishara, na umeambiwa hakita pata ishara ila ya Nabii Yona.

Leta andiko linaloelezea pale kulizungumziwa mambo ya ufanano wa siku tu na sio namna nyengine ya kwamba hakufa.
Leta andiko.

Na kama huna,
Fungua

Timoteo wa pili, 3: 7.

Wajifunze siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi, na kama vile Yane na Yamve walivyopingana na Mussa, VIVYO HIVYO NA HAWA WATAPINGANA NA KWELI.

Tafadhali nukuu hiyo aya ili nikikwambia timoteo 2, 3: 7 ujue nakukumbusha nini.

Kuhusu Mungu anaweza kuwa mwanadamu nimeshakujibu kwa aya tatu tofauti kutoka katika biblia na kama bado hujaridhidhika fungua:

Yakobo 1: 17.

Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilichokamili, hutoka juu na hushuka kwa bwana wa Mianga, KWAKE, HAKUNA KUBADILIKA, WALA HANA KIVULI CHA KUGEUKA GEUKA.

Mara awe mtu, mara awe Mungu. Biblia inasema Mungu hana kivuli cha kugeuka geuka.

Kabla ya kuendelea, naomba uniambie, wewe ni mchungaji au unasomea uchungaji?

Ukijibu hapo naapa nakufafanulia uchakachuzi wa bible ulivyotendeka kwa kutumia bible hiyo.
 
Ukijibu hapo naapa nakufafanulia uchakachuzi wa bible ulivyotendeka kwa kutumia bible hiyo
.
Atasema kitabu cha Yakobo si Bibilia hahaha.
 
Baba yako akiitwa Meneja [kwakuwa ni meneja mahali fulani]
Nyumbani akaitwa baba [kwasababu ni baba yenu]
Mama yako akamuita mume

Babu yako akimuita Husein[jina lake] atakuwa amekosea?

Yohana 6: 45 yasema hivi:

Imeandikwa katika manabii, na wote itakuwa wamefundishwa na Mungu.

Ee sote tufundishwe na Mungu.

Leta andiko, then utalielezea.

Yesu si Mungu na biblia inasema anayemtegemea Yesu Motoni.

Naomba ujibu atleast hili moja.

Wewe Eiyer Yesu ni nani kwako?
 
Mashaxizo Hawa wakristo hata Bibilia zao zinawapa hadhari wasidanganywe, Yesu alijua wazi kuna watu watakuja kudai yeye ni mkristo wakati yeye ni Muislam, Lakini vichwa vilivyo kufa ganzi tabu sana kusikia. Tazama Matayo 24:4-5 utaona Yesu anasema nini.[SUP]4 [/SUP]Yesu akawajibu, "Jihadharini, mtu asije akawadanganya. [SUP]5 [/SUP]Kwa maana wengi watakuja kwa jina langu wakisema, ‘Mimi ndiye Kristo' nao watawapotosha wengi.
 
Last edited by a moderator:

Sawa kabisa Mkuu.
Wakiristo waliosoma vizuri bible, wote wanaishia kuwa Waislamu, nadhani wanaona kilichotokea John papa paul wa pili.

Bible imechakachuliwa sana. Uzuri ni kwamba uchakachuzi huo unapingwa na bible hiyo.

Wakiristo wakienda kanisani wanasomeshwa viaya viwili vitatu vya uchakachuzi na vitakavyowawezesha kutawalia kifikra ili sadaka ipande. Wenzao wananua magari wao wanabaki na ujinga.
 
Last edited by a moderator:
Nimekuelewa Eiyer.

Jibu kwamba ni wapi Yesu anafanyahivyo (kuwatawadha wanafunzi wake) tunalipata:

Yohana 13: 4

Basi, Yesu
aliondoka mezani,
akaweka kando vazi lake,
akachukua kitambaa na
kujifunga kiunoni.

Hiyo inamana alikuwa tu ktk nyumba.

Kuna kitu naomba nikukumbushe.
Hichi tunachojadili kwa post hii ni mimi kuonesha Yesu ni Issa na ni Muislamu.

Yohana 13: 5.
Yesu anatawadha wanafunzi wake.
My concern ni kwamba wanaotawadha ni waislamu na sio lazima mtu atawadhe kwa kwenda msikitini tu.

Nikakuuliza swali.
Wanaotawadha ni watu wa dini gani? Hukunijibu.

Nilipotoa Luka 4: 16, Inasomeka, Yesu anakwenda kuabudu kwenye sinagogi kama ilivyodesturi yake.

Mpaka hapo nakuthibitishia Yesu ni Issa na ni Muislamu.
Inawezekana hujui swali nililokuuliza linataka majibu ya aina gani

Isa ni jina la Kiarabu lina maana yake ambayo mimi siijui
Yesu ni jina la Kiswahili ambalo limetokana na jina hilo kwa Kiarabu ambalo ni Yasu

Unaposema kuwa Isa ni Yesu unakuwa una maana gani?

Halafu Yesu aliwatawadha wanafunzi wake mahali ambapo sio sehemu ya ibada kama nyie mnavyofanya hii haithibitishi kuwa ni muislam kama unavyodhani au kutaka kusema hapa,hilo tukio lilikuwa lina maana yake wewe umelipeleka kwe nye ibada wakati haikuwa hivyo

Wewe unatawadha wakati unataka kwe nda kuswali,huyu aliwafanyia hivyo wanafunzi wake wakati hata hawakuwa wakiwaza kusali na wala hawakuwa sehemu ya nyumba ya ibada,kwanini unayahusisha haya mambo mawili wakati hayana mahusiano?

Kule kijijini watu wakiwa wanataka kwenda kufanya matambiko wanatawadha pia,je nao ni Waislam?
Ndio maana nimekuuliza hivi:

1 nini maana ya sinagogi?
Kwa fasiri ya haraka haraka ni msikiti,lakini sio kila msikiti ni wa waislam,nitakupa mfano;

Wahindu wana mahekalu unataka kuniambia ibada inayofanyika huko ni sawa na ile ambayo inafanyika kwa Wayahudi ambapo nako kuna mahekalu?
2 nini maana ya desturi?
Desturi ni utaratibu wa watu kufanya mambo
...
Eiyer naomba ujibu maswali yangu kama ninavyojibu maswali yako.

Sijatoka ktk mada, bado nakazia pale pale.

Na natumai sasa utanijibu.

Go ahead...
Done .....!!
 
Yohana 6: 45 yasema hivi:

Imeandikwa katika manabii, na wote itakuwa wamefundishwa na Mungu.

Ee sote tufundishwe na Mungu.

Leta andiko, then utalielezea.
Hiki ulichokiandika hapa hakieleweki ....
Yesu si Mungu na biblia inasema anayemtegemea Yesu Motoni.
Imesema wapi?
Naomba ujibu atleast hili moja.

Wewe Eiyer Yesu ni nani kwako?
Kwangu Yesu ni Mwokozi wangu
Ni Mungu muumba wa kila kitu ukiwemo na wewe
Ni mwana wa Daudi
Ni mwana wa Mungu
Ni Simba wa kabila la Yuda
Ni mwana wa Adamu

Kuna swali lolote?
 
Hahahahaaa.
Eiyer kasome bible ndugu yangu. Yaani mpaka leo hujui kama Yona hakufa alipokuwa tumboni siku tatu!!!!

Then umeambiwa kizazi kibaya na kisicho na uaminifu chatafuta ishara, na umeambiwa hakita pata ishara ila ya Nabii Yona.

Leta andiko linaloelezea pale kulizungumziwa mambo ya ufanano wa siku tu na sio namna nyengine ya kwamba hakufa.
Leta andiko.

Na kama huna,
Fungua

Timoteo wa pili, 3: 7.

Wajifunze siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi, na kama vile Yane na Yamve walivyopingana na Mussa, VIVYO HIVYO NA HAWA WATAPINGANA NA KWELI.

Tafadhali nukuu hiyo aya ili nikikwambia timoteo 2, 3: 7 ujue nakukumbusha nini.

Kuhusu Mungu anaweza kuwa mwanadamu nimeshakujibu kwa aya tatu tofauti kutoka katika biblia na kama bado hujaridhidhika fungua:

Yakobo 1: 17.

Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilichokamili, hutoka juu na hushuka kwa bwana wa Mianga, KWAKE, HAKUNA KUBADILIKA, WALA HANA KIVULI CHA KUGEUKA GEUKA.

Mara awe mtu, mara awe Mungu. Biblia inasema Mungu hana kivuli cha kugeuka geuka.

Kabla ya kuendelea, naomba uniambie, wewe ni mchungaji au unasomea uchungaji?

Ukijibu hapo naapa nakufafanulia uchakachuzi wa bible ulivyotendeka kwa kutumia bible hiyo.

Nani amesema Yona alikuwa amekufa?

Unajua maana ya context?

Maana unanishangaza kwasababu nimezungumzia context halafu unadai andiko
Hii nayo ni kali!
 
Mungu kasha sema hakuna biandamu anaye weza kumuona, sababu -binadamu akisha muona haishi, ndio alivyo jibiwa Nabii Mussa.Exodus 33:17-20 he LORD said to Moses, "I will also do this thing of which you have spoken; for you have found favor in My sight and I have known you by name." 18Then Moses said, "I pray You, show me Your glory!" 19And He said, "I Myself will make all My goodness pass before you, and will proclaim the name of the LORD before you; and I will be gracious to whom I will be gracious, and will show compassion on whom I will show compassion."2o …But," he said, "you cannot see my face, for no one may see me and live." Sa nyie vipi mseme Yesu ni Mungu wangapi wamemuona Yesu na wameishi?

Musa alimuona Mungu au hakumuona?
 
Naona hujui unacho ongea wewe, afu nashangaa unajifanya kama huna akili sa zingine unaelewa na unajidai huelewe FYI; Ilah= deity.
Allah=God, hata mkijidai kuwadanganya watu mtanaswa tu, uislam haukutungwa, kama yale mashairi ya Paulo:A S wink:

Unajua God ni sifa au ni jina?

Mungu wa dini ya Kiislam anaitwa nani?
 
Musa alimuona Mungu au hakumuona?
[h=3]Chapter (7) sūrat l-aʿrāf (The Heights)[/h]
Sahih International: And when Moses arrived at Our appointed time and his Lord spoke to him, he said, "My Lord, show me [Yourself] that I may look at You." [Allah] said, "You will not see Me, but look at the mountain; if it should remain in place, then you will see Me." But when his Lord appeared to the mountain, He rendered it level, and Moses fell unconscious. And when he awoke, he said, "Exalted are You! I have repented to You, and I am the first of the believers."
Hakuna mwanadamu anaweza kumuona Mungu akiwa katika utukufu wake
akaishi (Exodus 33:20)New International Version (NIV)
[SUP]20 [/SUP]But," he said, "you cannot see my face, for no one may see me and live."
 
Inawezekana hujui swali nililokuuliza linataka majibu ya aina gani

Isa ni jina la Kiarabu lina maana yake ambayo mimi siijui
Yesu ni jina la Kiswahili ambalo limetokana na jina hilo kwa Kiarabu ambalo ni Yasu

Unaposema kuwa Isa ni Yesu unakuwa una maana gani?

Halafu Yesu aliwatawadha wanafunzi wake mahali ambapo sio sehemu ya ibada kama nyie mnavyofanya hii haithibitishi kuwa ni muislam kama unavyodhani au kutaka kusema hapa,hilo tukio lilikuwa lina maana yake wewe umelipeleka kwe nye ibada wakati haikuwa hivyo

Wewe unatawadha wakati unataka kwe nda kuswali,huyu aliwafanyia hivyo wanafunzi wake wakati hata hawakuwa wakiwaza kusali na wala hawakuwa sehemu ya nyumba ya ibada,kwanini unayahusisha haya mambo mawili wakati hayana mahusiano?

Kule kijijini watu wakiwa wanataka kwenda kufanya matambiko wanatawadha pia,je nao ni Waislam?

Kwa fasiri ya haraka haraka ni msikiti,lakini sio kila msikiti ni wa waislam,nitakupa mfano;

Wahindu wana mahekalu unataka kuniambia ibada inayofanyika huko ni sawa na ile ambayo inafanyika kwa Wayahudi ambapo nako kuna mahekalu?

Desturi ni utaratibu wa watu kufanya mambo

Done .....!!

Eiyer usibabaishaji.
Huo mfano wako wa mahekalu ya Wahindi ni irrelevant katika issue ya miskiti.

Nikuulize hapa.
Hekalu ni Msikiti?

Nipe mfano wa msikiti unaotumika kinyume na mambo yanayofanywa msikitini.

Nakuomba fungua nyuma ya bible yako alafu niambie wametafsiri vipi sinagogi?

Ubishi mwengine bhana, we unaambiwa desturi ya Yesu ni kuabudu ktk sinagogi we unasema si misikiti yote ni ya waislamu!!!

Embu niambie ninyi wakiristo mnaabudu ktk sinagogi gani/zipi?

Ivi Eiyer ukienda Marekani na ukakuta watu wanaabudu kanisani, jee utasema hao wanaoabudu hivyo ni waumini wa dini gani?

Na jee ukikuta watu wanaabudu msikitini, utasema hao ni waumini wa dini gani?

Yohana 6: 45 inataka tufundishwe na Mungu.

Wapi bible inasema Mungu hakuabudu msikitini bali alibudu kanisani.
Leta andiko.

Ukishindwa fungua:

Timoteo wa pili, 3: 7.

Wajifunze siku zote, ila wasiweze kabisa kufikia ujuzi, na kama vile Yane na Yamve walivyompinga Mussa, vivyo hivyo na hawa WANAPINGANA NA KWELI.

Kwaiyo Eiyer Mungu anasema watu watapinga kweli kama Yane na Yamve walivyompinga Mussa.

Kwaiyo wewe, yane na yamve shimoni.
 
"The fault, dear Brutus, is not in our stars, but in ourselves."

William Shakespeare,-Julius Caesar
 
Unajua God ni sifa au ni jina?

Mungu wa dini ya Kiislam anaitwa nani?
Kuna sifa ambayo haina jina? Nadhani we ni kichaa tu umeishiwa badala ya kujibu hoja unaleta ujinga undhani wote walevi hapa. Wewe jifanye hujui Allah=God hio haitusumbui sisi we baki unamuita Jesus Mungu lakini utajua siku ukifa kama anavyo sema Mungu kwenye Qur'an Al Imran 3:71; O people of the Scripture (Jews and Christians): "Why do you mix truth with falsehood and conceal the truth while you know.
 
Eiyer usibabaishaji.
Huo mfano wako wa mahekalu ya Wahindi ni irrelevant katika issue ya miskiti.

Nikuulize hapa.
Hekalu ni Msikiti?

Nipe mfano wa msikiti unaotumika kinyume na mambo yanayofanywa msikitini.

Nakuomba fungua nyuma ya bible yako alafu niambie wametafsiri vipi sinagogi?

Ubishi mwengine bhana, we unaambiwa desturi ya Yesu ni kuabudu ktk sinagogi we unasema si misikiti yote ni ya waislamu!!!

Embu niambie ninyi wakiristo mnaabudu ktk sinagogi gani/zipi?

Ivi Eiyer ukienda Marekani na ukakuta watu wanaabudu kanisani, jee utasema hao wanaoabudu hivyo ni waumini wa dini gani?

Na jee ukikuta watu wanaabudu msikitini, utasema hao ni waumini wa dini gani?

Yohana 6: 45 inataka tufundishwe na Mungu.

Wapi bible inasema Mungu hakuabudu msikitini bali alibudu kanisani.
Leta andiko.

Ukishindwa fungua:

Timoteo wa pili, 3: 7.

Wajifunze siku zote, ila wasiweze kabisa kufikia ujuzi, na kama vile Yane na Yamve walivyompinga Mussa, vivyo hivyo na hawa WANAPINGANA NA KWELI.

Kwaiyo Eiyer Mungu anasema watu watapinga kweli kama Yane na Yamve walivyompinga Mussa.

Kwaiyo wewe, yane na yamve shimoni.
Allah Akbar Takbirrrrrri, waislam huwa tunawashika hao kila kona lakini wanakimbia, siunajua shetani kaisha wavuruga akili zao. Si unajua shetani anapenda wamshirikishe Mungu ili apate wafuasi wengi wakuingia naye motoni. Hio ya wakristo kumuita Yesu Mungu ndio inawapeleka kabisa motoni na haina toba. Yesu atakuja ulizwa na Mungu atasema mimi sikuwambia mniabudu wala sikuwambia mimi ni Mungu.

Surah 57:3 of the Qur'an refers to Allah as "the First and the Last, the Most High and the Most Near." The Old Testament agrees that God is the "First and the Last," as we read in the Book of the prophet Isaiah:Isaiah 44:6-Thus says the LORD, the King of Israel and his Redeemer, the LORD of hosts: "I am the first and I am the last, and there is no God besides Me." Wao wakasema hapa tubadilishe wakatengeneza Bibilia mpya inaitwa New Testament. Tazama wameandika nini; New Testament and read Revelation 1:17-18, where Jesus says:"Do not be afraid; I am the first and the last, and the living One; and I was dead, and behold, I am alive forevermore, and I have the keys of death and of Hades." Shetani anawafundisha marifa ya kubadilisha kitabu cha Mungu wao wanakita kitabu cha Mungu kipya, wakati Mungu hajasema hayo wanajibandikia tu wanavyo penda wao, ilikumfanya binadamu kawa Mungu hahaha. Umeona hio Jesus kwani kasha rudi mpaa asema hayo, unaona vipi waongo wanavyo zama kwa aibu, mbona Jesus hajarudi sa wameyapata wapi hayo ya Yesu kusema; and I was dead, and behold, I am alive forevermore, and I have the keys of death and of Hades.
 
Hiki ulichokiandika hapa hakieleweki ....

Imesema wapi?

Kwangu Yesu ni Mwokozi wangu
Ni Mungu muumba wa kila kitu ukiwemo na wewe
Ni mwana wa Daudi
Ni mwana wa Mungu
Ni Simba wa kabila la Yuda
Ni mwana wa Adamu

Kuna swali lolote?

Maswali yapo.

Yesu si Mungu.
Nyakati wa pili, 6: 18,
Yohana 8: 40,
Na Matayo 38: 40.

Ukimtegemea Yesu badala ya Mungu motoni,
Kwani yesu amelaaniwa.

Kumbu la Taurati 21: 22.

Akiwa mtu ametenda dhambi, ipasayokufa, akauwawa na wakamtundika juu ya mti, mzoga wake usilale usiku kucha juu ya mti, lazima utamzika siku hiyo hiyo, KWANI, ALIYETUNDIKWA AMELAANIWA NA MUNGU.

Nakuuli maswali.

Nini maana ya laana?

Alielaaniwa atakwenda wapi? (mbinguni au motoni?)

Na jee anayemfata alielaaniwa naye atakwenda wapi?
Umesema Yesu ni mwokozi wako. Kivipi?
Sasa hivi Yesu hayupo. Jee unapataje uokovu?

Na kwa vile Yesu anakataa kwamba sio Mungu kama nilivyokuekea vifungu. Nawe umepinga na umeniwekea vifungu kutoka ktk bible hiyo hiyo.
SWALI:
Jee unaamini bible yote au unaamini baadhi na zilizobaki huziamini? (Swali hilo ulijibu)

Kumbuka na kuambatanisha na aya za bible ktk majibu yako. Usijaribu kumzulia Yesu wala Mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom