πππTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Am afraid aseh .. If I am to die Nikufe Hawa machalii wako na 20 yrs...Ndicho nilichomaanisha,ni yeye ashakuja kitambo
Kukumbushiana, coz Kuna watu wanaua Ili kupata Mali Lakini wanasahau kuwa wanajitengenezea mwisho mbaya.Fear of Unknown...
Fear of Death...
Kifo kipo tuu, haijalishi ni wapi na muda gani.
Shida siyo kifo, shida ni pale unapoanza kuwaza au kuhofia kifo...
Ni wewe tuu ndo unajua kuna mwisho mbayaπKukumbushiana,coz Kuna watu wanaua Ili kupata Mali Lakini wanasahau kuwa wanajitengenezea mwisho mbaya
Mi naogopa kufa jamani π
Hiki ndiyo kinatuumiza wazazi wengi[emoji24] kufa na kuacha watoto wakiwa wadogo na hawawezi kujisimamia. Mungu atupe maisha marefuAm afraid aseh .. If I am to die Nikufe Hawa machalii wako na 20 yrs...
Baba alikufa nkiwa na miaka minne ... Ilikuwa kipindi cha mateso Sana ...
Alikuwa akisema watateseka Sana wanangu "kauli ya mama hii " as if he was seeing our future ... Na ni kweli Tumesuffer ...
I don't wanna die young [emoji22][emoji22]