Maisha yetu ni mafupi sana

Maisha yetu ni mafupi sana

Wale team ukiniacha nitakufa mnawaweka kundi gani 😁
 
Dah
IMG-20221001-WA0023.jpg
 
Tatizo ukiwaza kwamba baada ya kifo hakuna kinachoendelea INATISHA! Yaani kwamba ukishakufa tu basi, kila kitu kinazimika na hakitakuja kuwaka tena.. dah inatisha sana aisee

Ila pia ukiwaza kwamba baada ya kifo kuna kinachoendelea nayo pia INATISHA! Maana sasa hujui kitakachoendelea ni kipi...
Mimi nadhani kama ulalapo.... zile ndoto nahisi nafsi itaendelea kuishi
 
Ajabu iliyoje

Mim hata sitamani kuishi umri mrefu sijui kwanin

Alie juu atujaalie mwisho mwema[emoji1488][emoji1488]
 
Daaa😋 nimekulia mwenzio hayo matunda damu...kabila letu tunaita amapana....nikitoka school kama mboga hamna unasongwa ugali unasubiri upoe kidogo unamenya matunda hayo unakatakata vipande vidogovidogo unatia chumvi na pilipili...mboga tayarii😉
Sie uchagani/machame tunayaita matungusha ... Hayakuwahi kunivutia ila yalikuwa yanakuwa sana
 
Back
Top Bottom