Maisha yetu ni mafupi sana

Maisha yetu ni mafupi sana

Mambo yaliyojifjicha kwa watu wote huwezi kufahamu siri za kifo na utakufa lini na utafia wapi tumwombe Mwenyezi Mungu atujalie kifo chema
 
Hakika mkuu
 
A
Umenena vizuri sana. Niboreshe kidogo kwa kusema maisha yawe kumpendeza Mungu kwanza (si watu), ili kifo kiwe faida (zawadi kama ulivyosema) kwa kuurithi Ufalme wa Mungu pindi roho imtokapo mtu. Wakristo tunasema "kuishi ni Kristo, na kufa ni faida."

Amina
 
Tunasema kifo ni kibaya sababu tumepakubali hapa duniani tulipo na hatujui uhalisia wa huko tunapokwenda.

Katika maisha hujawahi shawishiwa kwenda sehemu huku ww unataka kubaki halafu ukalazimishwa kwenda ila ulipofika ukafurahia kweli uwepo wako hapo ulipokuwa hupataki?
Yeah,point.kwa sababu tumepakubali dunian
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Aliposema nitakuja kama mwivi,hakika anamekuja kama mwizi.....yaan saivi huwez jipangia au kujikadiria nitafika muda au umri Gani ....tunaishi tu....ukiishi muda mrefu ni jambo la kumshukuru Mwenyez Mungu...yaan saivi kifo ni muda wowote,popote na Kwa vyovyote.
Tumwombe Mungu atupe mwisho mwema maana wote na vyote vinapita....tusiumize wengine Kwa ajili ya Mali...tutaziacha...tuishi tukifanya kilakitu Kwa kiasi.🙏🙏🙏🙏
Mzee toka zamani kifo hakijazoeleka,sema kipindi ukiwa mdogo ilijipa moyo kuwa bado una mda wakuishi duniani kwakuwa bado mtoto,ila sasa hivi ushakuwa mtu mzima unawaza kufa,mali zinapita sawa ila huwezi kuogopa kutafuta mali kwakuwa utaziacha cha msingi mda uliopewa wa kuishi duniani utumie powa,huwezi kujua utakufa lini ni fumbo lililojificha,kula bata enjoy maisha kufa utakufa tu,kamata toto chapa fimbo,mwagilia moyo
 
Kifo zamani nilipokuwa mdogo sikuwai kufirikia coz niliona wazee wengi ndo wanakufa by now naona hata mimi naweza kufa mda wowote.. washkaji kama watt makamu yangu niliokuwa nao hata mtoto mmoja hawajapata wmaefariki.

Wapo madogo wamefariki we acha tu
 
Tutakufa tu,nimewazika ndugu zangu wengi,pia washikaji niliokuwa nao utotoni wamekufa bila watoto,ila siogopi kufa maana hata nikiogopa nitakimbia wapi,kifo kimeumbwa ili tumuogope MUNGU lika mwenye pumzi lazima afe
 
Kuna watu wanakomaa sana kutafuta maisha, ukifa mali yako inaliwa kilaini mno, jipende enjoy life, maisha mafupi
mkuu hayo ni maneno yakukata tamaa kuna wengne furaha yetu ni kutafuta pesa na kusaidia wengne , mimi mtu akishiba kupitia mimi nasikia raha mno , lazima tusizake usku na mchana kutimiza furaha zetu.
 
Back
Top Bottom