Maisha yetu ni mafupi sana

Maisha yetu ni mafupi sana

Daaa[emoji39] nimekulia mwenzio hayo matunda damu...kabila letu tunaita amapana....nikitoka school kama mboga hamna unasongwa ugali unasubiri upoe kidogo unamenya matunda hayo unakatakata vipande vidogovidogo unatia chumvi na pilipili...mboga tayarii[emoji6]
Wagona!
 
Mi naogopa kufa jamani [emoji849]
Usiogope kufa kwasababu bado unaishi,na kitakapokupata utakuwa tayari umeshakufa,hivyo utakuwa hujitambui.Hupaswi kuogopa kitu ambacho huna uwezo wa kukikwepa.Woga juu ya kifo ni hatari kuliko kifo chenyewe.
 
Hakika
 
Kwani kifo chema ni kipi mkuu?
Kwa wanaoamini dini ni kufa ukiwa umeyaweka sawa mambo na Mungu wako - yaani unakuwa umeikwepa jehenama.

Kibinadamu ni kifo kisicho na mateso. Kwa mfano mnatia story usiku, mnaenda kulala kesho huamki - umekufa.
 
😭wanangu Sasa,sa itakuwaje?
 
Back
Top Bottom