Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuawa sijaona Kama umevua mask.Huu ndo uhalisia wangu🤣🤣🤣 Vp hujapenda kaka?
HakikaAliposema nitakuja kama mwivi,hakika anamekuja kama mwizi.....yaan saivi huwez jipangia au kujikadiria nitafika muda au umri Gani ....tunaishi tu....ukiishi muda mrefu ni jambo la kumshukuru Mwenyez Mungu...yaan saivi kifo ni muda wowote,popote na Kwa vyovyote.
Tumwombe Mungu atupe mwisho mwema maana wote na vyote vinapita....tusiumize wengine Kwa ajili ya Mali...tutaziacha...tuishi tukifanya kilakitu Kwa kiasi.🙏🙏🙏🙏
kwakweli kuacha dunia hii na watoto wakiwa wanajisimamia ni neema,wanaojaliwa wana bahati sana.Am afraid aseh .. If I am to die Nikufe Hawa machalii wako na 20 yrs...
Baba alikufa nkiwa na miaka minne ... Ilikuwa kipindi cha mateso Sana ...
Alikuwa akisema watateseka Sana wanangu "kauli ya mama hii " as if he was seeing our future ... Na ni kweli Tumesuffer ...
I don't wanna die young 😢😢
Post ya mwisho kidogo nimuulizs if she's taken .. Kumbe ni mnyama aiiishhhDada angu Kama mtu vilee 😁😁
Ngoja ahame Uzi uone balaa lake.