Maisha yetu ni mafupi sana

Maisha yetu ni mafupi sana

Ndicho nilichomaanisha,ni yeye ashakuja kitambo
Am afraid aseh .. If I am to die Nikufe Hawa machalii wako na 20 yrs...

Baba alikufa nkiwa na miaka minne ... Ilikuwa kipindi cha mateso Sana ...

Alikuwa akisema watateseka Sana wanangu "kauli ya mama hii " as if he was seeing our future ... Na ni kweli Tumesuffer ...

I don't wanna die young 😢😢
 
Moja ya vitu vya uhakika havina hata chembe ya uongo wala mashaka ni kwamba ipo siku TUTAKUFA.
Sidhani kama tunatakiwa tukiogope kifo, ingawa hakizoeleki
 
Fear of Unknown...

Fear of Death...

Kifo kipo tuu, haijalishi ni wapi na muda gani.

Shida siyo kifo, shida ni pale unapoanza kuwaza au kuhofia kifo...
Kukumbushiana, coz Kuna watu wanaua Ili kupata Mali Lakini wanasahau kuwa wanajitengenezea mwisho mbaya.
 
juzi nilikuwa nataza ajali ya roli la mafuta lililofeli breki parking na kumuua dereva wake aisee kama mzaha,lakini jamaa ndio ikawa safari.

kaingiza parking break zikakataa likaanza kurudi nyuma,tanker ikapinduka na kuivuta juu horse kwa nguvu na kuibamiza chini ikiwa na dereva ndani.

[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
 
Kukumbushiana,coz Kuna watu wanaua Ili kupata Mali Lakini wanasahau kuwa wanajitengenezea mwisho mbaya
Ni wewe tuu ndo unajua kuna mwisho mbaya😀

Wabaya ndio wanaishi maisha marefu zaidi duniani.
 
Moja ya vitu vya uhakika havina hata chembe ya uongo wala mashaka ni kwamba ipo siku TUTAKUFA.
Sidhani kama tunatakiwa tukiogope kifo, ingawa hakizoeleki
Ni kama kula na kuenda uani ni comp...
 
Am afraid aseh .. If I am to die Nikufe Hawa machalii wako na 20 yrs...

Baba alikufa nkiwa na miaka minne ... Ilikuwa kipindi cha mateso Sana ...

Alikuwa akisema watateseka Sana wanangu "kauli ya mama hii " as if he was seeing our future ... Na ni kweli Tumesuffer ...

I don't wanna die young [emoji22][emoji22]
Hiki ndiyo kinatuumiza wazazi wengi[emoji24] kufa na kuacha watoto wakiwa wadogo na hawawezi kujisimamia. Mungu atupe maisha marefu
 
Anataka nijitoe muhanga wa maisha yangu kwa sababu ya umasikini wake..mimi maisha yangu yaishie gerezani au nife kifo cha ajabu yeye abaki uraiani anapata hewa ya oxygen ya bure............
Nani huyo kikojozi
 
Ni Afrika na nchi zingine maskini. Ulaya uhakika wa kufika 70 yrs na kiendelea probability ni kuwa.
 
Back
Top Bottom