Maisha yetu ni mafupi sana

Wale team ukiniacha nitakufa mnawaweka kundi gani 😁
 
Mimi nadhani kama ulalapo.... zile ndoto nahisi nafsi itaendelea kuishi
 
Ajabu iliyoje

Mim hata sitamani kuishi umri mrefu sijui kwanin

Alie juu atujaalie mwisho mwema[emoji1488][emoji1488]
 
Sie uchagani/machame tunayaita matungusha ... Hayakuwahi kunivutia ila yalikuwa yanakuwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…