Maisha yetu ni mafupi sana

mkuu hayo ni maneno yakukata tamaa kuna wengne furaha yetu ni kutafuta pesa na kusaidia wengne , mimi mtu akishiba kupitia mimi nasikia raha mno , lazima tusizake usku na mchana kutimiza furaha zetu.
Barikiwa
 
Mkuu miaka yote mbona kifo ni muda wowote,popote na Kwa vyovyote? Haijawahi badilika
 
Hakika
 
kwakweli kuacha dunia hii na watoto wakiwa wanajisimamia ni neema,wanaojaliwa wana bahati sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…