Maisha yetu ni mafupi sana

Wagona!
 
Mi naogopa kufa jamani [emoji849]
Usiogope kufa kwasababu bado unaishi,na kitakapokupata utakuwa tayari umeshakufa,hivyo utakuwa hujitambui.Hupaswi kuogopa kitu ambacho huna uwezo wa kukikwepa.Woga juu ya kifo ni hatari kuliko kifo chenyewe.
 
Hakika
 
Kwani kifo chema ni kipi mkuu?
Kwa wanaoamini dini ni kufa ukiwa umeyaweka sawa mambo na Mungu wako - yaani unakuwa umeikwepa jehenama.

Kibinadamu ni kifo kisicho na mateso. Kwa mfano mnatia story usiku, mnaenda kulala kesho huamki - umekufa.
 
😭wanangu Sasa,sa itakuwaje?
 
Kila dakika unayopata itumie kikamilifu, hakuna anaejua kuna nini baada ya kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…