Mtu_imara
JF-Expert Member
- Jan 7, 2023
- 221
- 336
Usiingilie staree za watu unazani walipenda kunywa pombe ujakua ww bdo upo kwa wazazi chanzo apo ni MATATIZOPeace be with you all sons of Zion,
Katika maisha kuna mambo piga ua galagaza siwezi kuyafanya sioni manufaa yoyote yapatikanayo kwayo:
1. Kwenda kwa waganga
2. Kushabikia mamipira
3. Kunywa pombe
4. Kumrudia mwanamke niliemuacha
5. Kumpunja mtu haki zake
Na wewe ongeza.