mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
mvurugiko wa mwandishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umezungumzia maghorofa anayosingiziwa Jamaa ! Lakini nadhani hata wao enzi za utawala wao walisingizia mtu au watu mambo mabaya ndio maana dhambi hiyo inaendelea kuwatafuna mpaka watakapotubu na kuomba msamaha ! Law of the Universe — “ what goes around comes around “ !!Watanzania tunapenda sana kutengeneza habari za uongo. Ni kipaji fulani kisichofaa kuwa sifa ya mtu lakini ndio ukweli kwamba tunacho na tunapenda kukiendeleza.
Uvumi unaweza kusambaa haraka sana mpaka mhusika anapokuja kukanusha tayari habari zinakuwa zimeshambaa kila kona na uongo wa kutungwa unakuwa ndio ukweli. Labda ni ukosefu wa kazi unaotusumbua siku zote!.
Labda ni ukosefu wa elimu unaotunyima fursa ya kutafakari jambo kwa kina na kuona kama kinachosemwa ni cha kweli au ni cha uzushi, au labda ni robo mbaya tu inayochanganyika na wivu inayotusumbua.
Hapa Mbezi Beach yapo majengo mawili yenye kufanana, moja limeshamalizika na linatumiwa kama ukumbi wa shughuli za harusi linaitwa SEA BREEZE HILL na lingine bado linajengwa halijamaliziwa. Ukiwa unatoka mjini kuelekea daraja la apson utayaona yapo kushoto kwako na kulia utaona maghorofa ya BOT. Kwa muda mrefu tu inavumishwa kwamba ni mali ya Ridhiwani Kikwete wakati ukweli ni tofauti kabisa na huo uvumi.
Yanamilikiwa na Mzee fulani mwenye hoteli yake mitaa ya Kariakoo karibu na kituo cha mabasi ya mwendo kasi, lakini uvumi uliovumishwa na watu wengi wakidhania ni ukweli ni kuwa yale maghorofa ni mali ya Ridhiwani mtoto wa JK, Hivyo wanaojenga hoja kuwa familia ya JK ina mali nyingi wanakuwa wamehesabu pia na hayo maghorofa!!.
Ni kama ambavyo zile maiti zilizokuwa zikiokotwa pale Coco Beach zilivyohusishwa na awamu ya JPM, watu wengi maskini ya Mungu wakajua ni hivyo!, kwamba JPM anawashughulikia wote wanaokwenda kinyume na matakwa yake.
Lakini awamu ya sita ikiwa inafikia nusu ya safari bado kuna miili ya watu inaokotwa ndani ya viroba sehemu mbalimbali za Tanzania, je hizi ni maiti zenye uhusiano na awamu ya tano?.
Unyama ni sifa ya binadamu, tuna roho mbaya sana siku zote. Hatufahami juu ya unyama wetu kwani vyombo vya habari havifiki kila sehemu na kuripoti matukio. Lakini kila siku kuna watu wanachinjwa, wanadhalilishwa na kuwekwa ndani ya viroba ni sifa mbaya ya binadamu.
Tulitenda dhambi ya kumsingizia JPM kuwa ni mtu mwenye kuondoa uhai wa watu, lakini mpaka kesho bado matukio yale yale ya awamu yake yanaendelea kutokea hapa nchini. Tuitubu hii dhambi vinginevyo itatuumiza sana huko tuendako.
Ahh kabisaHakuna serikali isiyoua Duniani Mura,cheza kwa stepu tu utasalimikia.Ukijifanya unaleta fyokofyoko kwenye maslahi ya wakubwa lazima upotee Mura.
Kama Padri anakutwa kauwawa kawekwa nyuma ya tenki,mimi ni nani Tata mpaka nisiwekwe kwenye kiroba!!!
God is Great ! Ukiua kwa Upanga nawe utauawa kwa Upanga !! Kama haitalipizwa kwa mhusika itakuja kulipizwa kwa kizazi chake !! Hiyo ndio “ Karma “ Tumuogope MUNGU !!Hakuna serikali isiyoua Duniani Mura,cheza kwa stepu tu utasalimikia.Ukijifanya unaleta fyokofyoko kwenye maslahi ya wakubwa lazima upotee Mura.
Kama Padri anakutwa kauwawa kawekwa nyuma ya tenki,mimi ni nani Tata mpaka nisiwekwe kwenye kiroba!!!
Wameruhusiwa na Mungu ? AU ?!!HAKUNA SERIKALI ISIYOUA DUNIANI
HAYA NI MAMBO YA KAWAIDA KWENYE MFUMO WA KISERIKALI
ova
Mjinga ni wewe usiyeelewa dhana pana ya andiko zima ni ipi.Mimi nilidhani utaweka na viroba vya miili iliyookorwa awamu hii ya Rais Samia!
Kumbe ulitaka tu kumsafisha Ridhiwani kuhusu umiliki wa maghorofa hayo!
Wewe ni Chawa na kubwa jinga tu!
Ben Saanane yupo wapi?Watanzania tunapenda sana kutengeneza habari za uongo. Ni kipaji fulani kisichofaa kuwa sifa ya mtu lakini ndio ukweli kwamba tunacho na tunapenda kukiendeleza.
Uvumi unaweza kusambaa haraka sana mpaka mhusika anapokuja kukanusha tayari habari zinakuwa zimeshambaa kila kona na uongo wa kutungwa unakuwa ndio ukweli. Labda ni ukosefu wa kazi unaotusumbua siku zote!.
Labda ni ukosefu wa elimu unaotunyima fursa ya kutafakari jambo kwa kina na kuona kama kinachosemwa ni cha kweli au ni cha uzushi, au labda ni robo mbaya tu inayochanganyika na wivu inayotusumbua.
Hapa Mbezi Beach yapo majengo mawili yenye kufanana, moja limeshamalizika na linatumiwa kama ukumbi wa shughuli za harusi linaitwa SEA BREEZE HILL na lingine bado linajengwa halijamaliziwa. Ukiwa unatoka mjini kuelekea daraja la apson utayaona yapo kushoto kwako na kulia utaona maghorofa ya BOT. Kwa muda mrefu tu inavumishwa kwamba ni mali ya Ridhiwani Kikwete wakati ukweli ni tofauti kabisa na huo uvumi.
Yanamilikiwa na Mzee fulani mwenye hoteli yake mitaa ya Kariakoo karibu na kituo cha mabasi ya mwendo kasi, lakini uvumi uliovumishwa na watu wengi wakidhania ni ukweli ni kuwa yale maghorofa ni mali ya Ridhiwani mtoto wa JK, Hivyo wanaojenga hoja kuwa familia ya JK ina mali nyingi wanakuwa wamehesabu pia na hayo maghorofa!!.
Ni kama ambavyo zile maiti zilizokuwa zikiokotwa pale Coco Beach zilivyohusishwa na awamu ya JPM, watu wengi maskini ya Mungu wakajua ni hivyo!, kwamba JPM anawashughulikia wote wanaokwenda kinyume na matakwa yake.
Lakini awamu ya sita ikiwa inafikia nusu ya safari bado kuna miili ya watu inaokotwa ndani ya viroba sehemu mbalimbali za Tanzania, je hizi ni maiti zenye uhusiano na awamu ya tano?.
Unyama ni sifa ya binadamu, tuna roho mbaya sana siku zote. Hatufahami juu ya unyama wetu kwani vyombo vya habari havifiki kila sehemu na kuripoti matukio. Lakini kila siku kuna watu wanachinjwa, wanadhalilishwa na kuwekwa ndani ya viroba ni sifa mbaya ya binadamu.
Tulitenda dhambi ya kumsingizia JPM kuwa ni mtu mwenye kuondoa uhai wa watu, lakini mpaka kesho bado matukio yale yale ya awamu yake yanaendelea kutokea hapa nchini. Tuitubu hii dhambi vinginevyo itatuumiza sana huko tuendako.
Mada YAKO iko too general Sana, unasema vinaokotwa kila mahali ,je KWa idadi yake unakisia vimefika vingapi?Watanzania tunapenda sana kutengeneza habari za uongo. Ni kipaji fulani kisichofaa kuwa sifa ya mtu lakini ndio ukweli kwamba tunacho na tunapenda kukiendeleza.
Uvumi unaweza kusambaa haraka sana mpaka mhusika anapokuja kukanusha tayari habari zinakuwa zimeshambaa kila kona na uongo wa kutungwa unakuwa ndio ukweli. Labda ni ukosefu wa kazi unaotusumbua siku zote!.
Labda ni ukosefu wa elimu unaotunyima fursa ya kutafakari jambo kwa kina na kuona kama kinachosemwa ni cha kweli au ni cha uzushi, au labda ni robo mbaya tu inayochanganyika na wivu inayotusumbua.
Hapa Mbezi Beach yapo majengo mawili yenye kufanana, moja limeshamalizika na linatumiwa kama ukumbi wa shughuli za harusi linaitwa SEA BREEZE HILL na lingine bado linajengwa halijamaliziwa. Ukiwa unatoka mjini kuelekea daraja la apson utayaona yapo kushoto kwako na kulia utaona maghorofa ya BOT. Kwa muda mrefu tu inavumishwa kwamba ni mali ya Ridhiwani Kikwete wakati ukweli ni tofauti kabisa na huo uvumi.
Yanamilikiwa na Mzee fulani mwenye hoteli yake mitaa ya Kariakoo karibu na kituo cha mabasi ya mwendo kasi, lakini uvumi uliovumishwa na watu wengi wakidhania ni ukweli ni kuwa yale maghorofa ni mali ya Ridhiwani mtoto wa JK, Hivyo wanaojenga hoja kuwa familia ya JK ina mali nyingi wanakuwa wamehesabu pia na hayo maghorofa!!.
Ni kama ambavyo zile maiti zilizokuwa zikiokotwa pale Coco Beach zilivyohusishwa na awamu ya JPM, watu wengi maskini ya Mungu wakajua ni hivyo!, kwamba JPM anawashughulikia wote wanaokwenda kinyume na matakwa yake.
Lakini awamu ya sita ikiwa inafikia nusu ya safari bado kuna miili ya watu inaokotwa ndani ya viroba sehemu mbalimbali za Tanzania, je hizi ni maiti zenye uhusiano na awamu ya tano?.
Unyama ni sifa ya binadamu, tuna roho mbaya sana siku zote. Hatufahami juu ya unyama wetu kwani vyombo vya habari havifiki kila sehemu na kuripoti matukio. Lakini kila siku kuna watu wanachinjwa, wanadhalilishwa na kuwekwa ndani ya viroba ni sifa mbaya ya binadamu.
Tulitenda dhambi ya kumsingizia JPM kuwa ni mtu mwenye kuondoa uhai wa watu, lakini mpaka kesho bado matukio yale yale ya awamu yake yanaendelea kutokea hapa nchini. Tuitubu hii dhambi vinginevyo itatuumiza sana huko tuendako.
Tatizo lako umeongea kishabiki mno!!mbona zito alishatoa maelekezo mazuri"kama mnampenda sana.....Kwani maiti kuokotwa kwenye viroba haikuanza kipindi chake, na wala haitaisha, mbona hayo matukio yapo sehemu nyingi duniani?!!Tatizo lake kipindi cha kambale ni kuwa vilivyopokuwa vinatokea badala ya kufanya uchunguzi wanakuja na majibu rahisi, mala hao ni wasomali, mbona hivyo vilivyotokea juziTanga, serikali imejitahidi kuwahusisha wananchi ili kuitambua, lakini imeshindakana, Sasa kipindi cha kambale, ilikuwaje?!!Watanzania tunapenda sana kutengeneza habari za uongo. Ni kipaji fulani kisichofaa kuwa sifa ya mtu lakini ndio ukweli kwamba tunacho na tunapenda kukiendeleza.
Uvumi unaweza kusambaa haraka sana mpaka mhusika anapokuja kukanusha tayari habari zinakuwa zimeshambaa kila kona na uongo wa kutungwa unakuwa ndio ukweli. Labda ni ukosefu wa kazi unaotusumbua siku zote!.
Labda ni ukosefu wa elimu unaotunyima fursa ya kutafakari jambo kwa kina na kuona kama kinachosemwa ni cha kweli au ni cha uzushi, au labda ni robo mbaya tu inayochanganyika na wivu inayotusumbua.
Hapa Mbezi Beach yapo majengo mawili yenye kufanana, moja limeshamalizika na linatumiwa kama ukumbi wa shughuli za harusi linaitwa SEA BREEZE HILL na lingine bado linajengwa halijamaliziwa. Ukiwa unatoka mjini kuelekea daraja la apson utayaona yapo kushoto kwako na kulia utaona maghorofa ya BOT. Kwa muda mrefu tu inavumishwa kwamba ni mali ya Ridhiwani Kikwete wakati ukweli ni tofauti kabisa na huo uvumi.
Yanamilikiwa na Mzee fulani mwenye hoteli yake mitaa ya Kariakoo karibu na kituo cha mabasi ya mwendo kasi, lakini uvumi uliovumishwa na watu wengi wakidhania ni ukweli ni kuwa yale maghorofa ni mali ya Ridhiwani mtoto wa JK, Hivyo wanaojenga hoja kuwa familia ya JK ina mali nyingi wanakuwa wamehesabu pia na hayo maghorofa!!.
Ni kama ambavyo zile maiti zilizokuwa zikiokotwa pale Coco Beach zilivyohusishwa na awamu ya JPM, watu wengi maskini ya Mungu wakajua ni hivyo!, kwamba JPM anawashughulikia wote wanaokwenda kinyume na matakwa yake.
Lakini awamu ya sita ikiwa inafikia nusu ya safari bado kuna miili ya watu inaokotwa ndani ya viroba sehemu mbalimbali za Tanzania, je hizi ni maiti zenye uhusiano na awamu ya tano?.
Unyama ni sifa ya binadamu, tuna roho mbaya sana siku zote. Hatufahami juu ya unyama wetu kwani vyombo vya habari havifiki kila sehemu na kuripoti matukio. Lakini kila siku kuna watu wanachinjwa, wanadhalilishwa na kuwekwa ndani ya viroba ni sifa mbaya ya binadamu.
Tulitenda dhambi ya kumsingizia JPM kuwa ni mtu mwenye kuondoa uhai wa watu, lakini mpaka kesho bado matukio yale yale ya awamu yake yanaendelea kutokea hapa nchini. Tuitubu hii dhambi vinginevyo itatuumiza sana huko tuendako.
hana rekodi hiyo mpaka sasa...labda yaliyojificha lkn hakuna daliliSamia nae anaua au?.
Mhh!Watanzania tunapenda sana kutengeneza habari za uongo. Ni kipaji fulani kisichofaa kuwa sifa ya mtu lakini ndio ukweli kwamba tunacho na tunapenda kukiendeleza.
Uvumi unaweza kusambaa haraka sana mpaka mhusika anapokuja kukanusha tayari habari zinakuwa zimeshambaa kila kona na uongo wa kutungwa unakuwa ndio ukweli. Labda ni ukosefu wa kazi unaotusumbua siku zote!.
Labda ni ukosefu wa elimu unaotunyima fursa ya kutafakari jambo kwa kina na kuona kama kinachosemwa ni cha kweli au ni cha uzushi, au labda ni robo mbaya tu inayochanganyika na wivu inayotusumbua.
Hapa Mbezi Beach yapo majengo mawili yenye kufanana, moja limeshamalizika na linatumiwa kama ukumbi wa shughuli za harusi linaitwa SEA BREEZE HILL na lingine bado linajengwa halijamaliziwa. Ukiwa unatoka mjini kuelekea daraja la apson utayaona yapo kushoto kwako na kulia utaona maghorofa ya BOT. Kwa muda mrefu tu inavumishwa kwamba ni mali ya Ridhiwani Kikwete wakati ukweli ni tofauti kabisa na huo uvumi.
Yanamilikiwa na Mzee fulani mwenye hoteli yake mitaa ya Kariakoo karibu na kituo cha mabasi ya mwendo kasi, lakini uvumi uliovumishwa na watu wengi wakidhania ni ukweli ni kuwa yale maghorofa ni mali ya Ridhiwani mtoto wa JK, Hivyo wanaojenga hoja kuwa familia ya JK ina mali nyingi wanakuwa wamehesabu pia na hayo maghorofa!!.
Ni kama ambavyo zile maiti zilizokuwa zikiokotwa pale Coco Beach zilivyohusishwa na awamu ya JPM, watu wengi maskini ya Mungu wakajua ni hivyo!, kwamba JPM anawashughulikia wote wanaokwenda kinyume na matakwa yake.
Lakini awamu ya sita ikiwa inafikia nusu ya safari bado kuna miili ya watu inaokotwa ndani ya viroba sehemu mbalimbali za Tanzania, je hizi ni maiti zenye uhusiano na awamu ya tano?.
Unyama ni sifa ya binadamu, tuna roho mbaya sana siku zote. Hatufahami juu ya unyama wetu kwani vyombo vya habari havifiki kila sehemu na kuripoti matukio. Lakini kila siku kuna watu wanachinjwa, wanadhalilishwa na kuwekwa ndani ya viroba ni sifa mbaya ya binadamu.
Tulitenda dhambi ya kumsingizia JPM kuwa ni mtu mwenye kuondoa uhai wa watu, lakini mpaka kesho bado matukio yale yale ya awamu yake yanaendelea kutokea hapa nchini. Tuitubu hii dhambi vinginevyo itatuumiza sana huko tuendako.
huyu ni chawa anajaribu kumtetea muuaji
Watanzania tunapenda sana kutengeneza habari za uongo. Ni kipaji fulani kisichofaa kuwa sifa ya mtu lakini ndio ukweli kwamba tunacho na tunapenda kukiendeleza.