Maiti bado zinaokotwa ndani ya viroba, tutubu dhambi ya kumsingizia Hayati JPM la sivyo itaendelea kututafuna

Ni vigumu sana Kwa serikali inayoziba masikio kusikia vilio vya wananchi kuhusu hali ya maisha yao halafu istekeleze mauwaji wanapoanza kuhoji kuonyesha hisia zao na machungu yao juu ya kukosa kwao mahitaji yao mhimu na kushindwa kuhimili ugumu wa maiasha
 
Umezungumzia maghorofa anayosingiziwa Jamaa ! Lakini nadhani hata wao enzi za utawala wao walisingizia mtu au watu mambo mabaya ndio maana dhambi hiyo inaendelea kuwatafuna mpaka watakapotubu na kuomba msamaha ! Law of the Universe — “ what goes around comes around “ !!
 
Hakuna serikali isiyoua Duniani Mura,cheza kwa stepu tu utasalimikia.Ukijifanya unaleta fyokofyoko kwenye maslahi ya wakubwa lazima upotee Mura.
Kama Padri anakutwa kauwawa kawekwa nyuma ya tenki,mimi ni nani Tata mpaka nisiwekwe kwenye kiroba!!!
Ahh kabisa

Ova
 
Hakuna serikali isiyoua Duniani Mura,cheza kwa stepu tu utasalimikia.Ukijifanya unaleta fyokofyoko kwenye maslahi ya wakubwa lazima upotee Mura.
Kama Padri anakutwa kauwawa kawekwa nyuma ya tenki,mimi ni nani Tata mpaka nisiwekwe kwenye kiroba!!!
God is Great ! Ukiua kwa Upanga nawe utauawa kwa Upanga !! Kama haitalipizwa kwa mhusika itakuja kulipizwa kwa kizazi chake !! Hiyo ndio “ Karma “ Tumuogope MUNGU !!
 
Ben Saanane yupo wapi?
 
Mada YAKO iko too general Sana, unasema vinaokotwa kila mahali ,je KWa idadi yake unakisia vimefika vingapi?
 
Tatizo lako umeongea kishabiki mno!!mbona zito alishatoa maelekezo mazuri"kama mnampenda sana.....Kwani maiti kuokotwa kwenye viroba haikuanza kipindi chake, na wala haitaisha, mbona hayo matukio yapo sehemu nyingi duniani?!!Tatizo lake kipindi cha kambale ni kuwa vilivyopokuwa vinatokea badala ya kufanya uchunguzi wanakuja na majibu rahisi, mala hao ni wasomali, mbona hivyo vilivyotokea juziTanga, serikali imejitahidi kuwahusisha wananchi ili kuitambua, lakini imeshindakana, Sasa kipindi cha kambale, ilikuwaje?!!
MUNGU FUNDI
 
Mhh!
 

Kwahiyo hapa ndio unaona umemtetea sana dhalimu! Ni hivi kile kilichosemwa kuhusu dhalimu kiko vilevile regardless kinachotokea hivi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…