GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,279
- 2,921
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa na nadhani wote watakuwa wamekuelewa. Mataifa yote (hata hayo ya G20) yanakua, lakini yote hayakui kwa ulinganifu mmoja, na yote yana mahali yalipoanzia. Lakini yote yanafanana ki malengo. Yote yanataka yafikie kilele cha mafanikio! Lakini, kama ukuaji ulivyo, kuna misukosuko na magonjwa ambayo hupunguza kasi ya ukuaji. Hayo, kama taifa linalokua, yasitukatishe tamaa dhidi ya dhamira yetu ya kusonga mbele!Nachoweza kusema. Hapa hoja ya kisomi ni the will to fight and to make people know that we are ready to defend our rights ,the rights to our naturally given resources. That's what a focused mind should concentrate upon. Siasa inatufanya tusione positivity even kwenye processes Kwenye shock up technic kiasi kwamba baadaye wajanja watakuja kistaha kidogo. Mitandao inatufanya tusahau the gap kubwa tulilo nalo kiuchumi na Mataifa ya G20. Tunapopiga picha tunadhani TZ ni power nation. Sasa tunatumika kutaka kuvuruga focus ya JPM kwa siasa uchwara. Alafu tunajiona mashujaa. Akikohoa tu kelele mpaka marekani. Marekani wameua juzi Askari 66 kimakosa. Kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Hapa mkuu umedanganya. Ingekua kweli tusingepokea misaada yao!!Japo Ccm Siipendi Ila Ni Kosa La Jinai Kuungana Na Mzungu Hata Kama Hoja Zetu Hazina Mashiko!
Tena wachovu, nenda kanisani kwako ukatubu kufuru iliyoiandika. Tangu lini mwanadamu akapigiwa magoti?. Kila goti litapigwa kwa yule atakayewahukumu walio hai na wafu siyo binaadamu ambaye Siku zake zimo mikononi mwa Mungu.
Ninachoogopa wasije wakasema sisi ndo tuwalipe kwa kuwachafua, Mungu aepushie mbali hili lisitokeeUkimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana jamaa wamekomaa kwelikweli na wanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.
Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .
Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
Wapinzani uelewa wao ni mdogo sana wanakurupuka tu.
Wewe Mtutsi unafurahia Tanzania kuibiwa! Hatushangai. Lakini kama wakileta za kuleta si bora wafunge Migodi kuliko kuendelea kutuibia na kutufanya wajinga!! Nenda kapokee mshahara wa ukitimbakwira!!Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana jamaa wamekomaa kwelikweli na wanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.
Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .
Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
Kama hayo ni ya kweli taja majina ya Watanzania wanaounda hiyo Kamati.
Ha ha ha!!!!!! Kwani utalipwa kwa kazi gani mkuu????? Ngoja nikalime mie. Nimeambiwa kuna hela siku hizi kwenye kilimo.Mimi nasubiri noa yangu maana pesa hizo zikilipwa ni nyingi mnoooo
By someone with mental slavery.Hizi kamati zilidanganya umma ndo maana wanashindwa kuzipangua hoja za wathungu,walifanya uchunguzi kumfurahisha Mkulu
Waliotuibia ni watanzania wwnzetu Wala siyo wathungu.....
Kuwa mwafrika n tabu kweli kweli
Mtawanga mpaka asubuhi, awamu hii serikali anakaba mpaka ndani ya PENALTY BOX.Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana jamaa wamekomaa kwelikweli na wanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.
Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .
Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana jamaa wamekomaa kwelikweli na wanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.
Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .
Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
Bora wewe unayesubiria, mimi nilishatengeneza barabara kabisa maana kuelekea nyumbani kulikuwa na bwawa kubwa la mto. Kilichonistua ni kumsikia fisiemu mmoja akinasibu Barick wamekubali kulipa ila itakuwa indirectly na kwa kuanzia zile billions za Bill Gates juzi kuwa ni sehemu ya hayo malipo!nasubiria NOAH yangu nimeshaioda kabisa