Lihove2017
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 423
- 560
Huu mjadala uko tricky sana.ugumu ninao uona ni ule wa kushusha matumaini ambayo watanzania wanajua na dunia inajua kwamba kuna mabililni tuliyapoteza , hasa baada ya zile report 2 za wataalamu wetu wabobezi.sijui kama wataalamu wetu waliweka working papers zao vizuri.nadhani wangejua kama hatimaye kutakuja kuwa na majadiliano ya namna hii na wataalamu wa level hii nadhani working papers zao wangeziorganise vizuri.
Ikiwa majadiliano haya yatafikia kwamba Tanzania haidai kitu hali itakuwa mbaya sana hasa kuaminika kwa wataalam wetu.Maana itaonekana walitudanganya.Ndiyo maana nadhani ile logic ya kuficha majina ya wanakamati ispokuwa mwenyekiti.lakini nadhani tutaambulia kitu.lazima kuna masalia ya hisani tunaweza pata.Wale ni wafanyabiashara wakubwa na wamewekeza vya kutosha na kufanya maandalizi ya kitosha kwenye uanzishwaji wa hiyo kamati yao ya majadiliano.Naamini pia kamati yetu si ya watu wepesi,kwa hiyo tujipe moyo tutashinda