Bigbon
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 600
- 729
Wapo mkuu..mfano Prof Lipumba....Prof Mwamfupe ambaye diwani na meya wa manispaa ya DodomaBongo kuna maprofesa basii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo mkuu..mfano Prof Lipumba....Prof Mwamfupe ambaye diwani na meya wa manispaa ya DodomaBongo kuna maprofesa basii
Kila goti litapigwa kwa BwanaYesu tu na sio kwa mwanadamuMchawi unaombea nchi kufilisika lakini kwa Magufuri kila goti litapigwa ,
Mkuu..unapozungumzia "noah"...be specific..ni noah kibasi?au mnyama pendwa?...kama ni mnyama pendwa nadhan kwa idadi yetu ya watz mil..54 tunaweza pewa kila mtu..sio gari!Mimi nasubiri noa yangu maana pesa hizo zikilipwa ni nyingi mnoooo
Acha kufuru wewe kila goti litapigwa amekuwa Mungu?Mchawi unaombea nchi kufilisika lakini kwa Magufuri kila goti litapigwa ,
Mimi nasubiri noa yangu maana pesa hizo zikilipwa ni nyingi mnoooo
Ok hadithi yako ya leo inatufundisha nini?Baada ya yule 'mwanaume' wa Barrick kuondoka ikulu, immediately Barrick wakaanza kuitumia mbinu ya ukimya,kile wanachosema wazungu ~stop.look.listen.think and wait.
Sisi tukaanza kuongea kila kilichokuja mdomoni kwetu bila kukichambua;
☞Mara Barrick wamesema watalipa.
☞Mara tumeibiwa sana.
☞Mara wakichelewa tutafunga migodi yao.
Maneno kibao!!!!
Tulipoona wapo kimya zaidi tukawapelekea ile bill ya ajabu kuwahi kutokea duniani~ madai ya trillion 428, budget ya shirika la anga la Marekani kwa miaka kumi!
HAPO MIMI NLIBAKI KINYWA WAZI JAMAA
Hahaa yani watu kuja kuzungumza ndo tujisifie....swala tunataka hilo deni lilipwe thus all mazungumzo kwan ajabututapata majibu baada ya majadiliano. kuja kwao ACACIA kwenye meza ya mduara ni hesha kubwa kwetu kama taifa. na kuwa sisi siyo wa mchezomchezo kwenye Tanzania ya JPM
Usiwe na shaka kiongozi... kitu kiko tayari kinasubiri kupandishwa melini...Mungu anakuona mleta thread Acha kutupa presure noah yangu nyeusi ndiyo basi tena
Usijali, chombo kiko njiani...Mimi nina wake wawili. Watoto wawili. Dada wa kazi. Nasubiria NOAH 6. Nahama DSM naenda SANYA JUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Hashindwi kitu... Noah zileee...Rais John Pombe Joseph Magufuli
Hajawahi Kushindwa Tutakipwa Pesa Muda Ni Rafiki