Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana jamaa wamekomaa kwelikweli na wanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.

Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .

Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
Dah..... Wewe ni mtanzania? Tuanzie hapo kwanza...[emoji13] [emoji13]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Haya mazungumzo kama ni Yale ya vitabuni mngesubiri January 2020 mpate kusema " mwaka ujao tuna......" Kosa ni kuwa hamkujua kudanganya. Trillion 10 tu zinatosha kina cha chini cha mishahara kuanzia m na ushee.Nani atampenda tena Lissu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are contradicting yourself.

Mara time will tell kama yupo au hayupo.

Mara kila goti litapigwa.

Hata wewe mwenyewe hujui kama unaamini yupo au huamini!

Ungeamini usingekuwa na haja ya kusema time will tell kama yuko au hayuko.
"Yupo ama hayupo" ni kwako mkuu sio kwangu,mimi naamini 100% kwamba yupo."Time will tell" pia ni kwako,sio kwangu.
 
Walisema watalipa kwa lugha ipi?
Kingereza au Kiswahili?
 
Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana jamaa wamekomaa kwelikweli na wanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.

Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .

Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
Kufanya majadiliano na mtu uliyekwisha muita ni mwizi kwa gharama zako, umpe ulinzi, umlipie hoteli na chakula pamoja na hadhi ya kitaifa zaidi ya wananchi wako, ni laana ya kutosha
 
kabisa mkuu
 
Yupo ama hayupo kwako mkuu sio kwangu,mimi naamini 100% kwamba yupo.Time will tell pia kwako,sio kwangu.
Kama yupo au hayupo anakuwepo au anakuwa hayupo si kwako wewe ni kwa wote.

Unaweza kuthibitisha kwamba huyo Mungu yupo?

Sent from my Kimulimuli
 
Mkuu nimesema I have given up on you.After all God does not force anybody to accept him or do what He likes,ila hukumu ya kumkataa ipo pale pale.Ndio maana anasema kila goti litapegwa mbele yake na kukiri kuwa yeye ni Bwana.

Finally kumbuka kwamba choice yako mbaya ndiyo itakayokutesa uwapo hapa duniani.Bye.
 
Mkuu nimesema I have given up on you.After all God does not force anybody to accept him or do what He likes,ila hukumu ya kumkataa ipo pale. pale.Ndio maana anasema kila goti litapegwa mbele yake na kukiri kuwa yeye ni Bwana.

Finally kumbuka kwamba choice yako mbaya ndiyo itakayokutesa uwapo hapa duniani.
Huja give up on me kwa sababu unanijibu bado.

Na kama hujathibitisha kwamba Mungu yupo, hutakiwi kusema nimefanya choice mbaya.

Sent from my Kimulimuli
 
Haha, sema tu unataka uambiwe kinachoendelea huko kwenye meza ya majadiliano, kuliko kujaribu kuzusha uongo. Ngonjeni bwana mtaambiwa maamuzi ya mwisho.
 
Dah..... Wewe ni mtanzania? Tuanzie hapo kwanza...[emoji13] [emoji13]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
Sasa kuwa mtanzania ndio afanyeje zaidi ya haya?Aibe ushindi?
 
Kwa kweli tukisema ukweli kwa mazungumzo hatutawaweza labda mkuu aamue kutumia nguvu tu ila kwa majadiliano hutuna uwezo wa kuwashinda kwa sababu kamati zote zilipika data.Kutumia data zilozopikwa ni rahisi sana kwa kupata umaarufu kwa wananchi ila kwenye mazungumzo zinakuwa kama karatasi za kufungia vitumbua
 
Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana jamaa wamekomaa kwelikweli na wanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.

Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .

Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
UKAWA hawako mbali na uchawi !
 
Kufanya majadiliano na mtu uliyekwisha muita ni mwizi kwa gharama zako, umpe ulinzi, umlipie hoteli na chakula pamoja na hadhi ya kitaifa zaidi ya wananchi wako, ni laana ya kutosha
Haha. Watz ni shiiiida.Waliambiwa walichokuwa wanafanya kingetuweka mahali ambapo hatukupaswa kuwepo kabisa. We were not supposed to be here at the FIRST PLACE. Tuliokuwa tukisema tulihojiwa uzalendo wetu.Sijui tafsiri ya uzalendo ni ipi?
 
Back
Top Bottom