Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Mmeanza single mpya wazee wa MIGA. .mlianza kusema tutashtakiwa. ..pili Barrick hawaji kujadiliana. .. wamekuja sasa mnasema et kamati ya majadiliano imekwama. ..acheni ramli najua mnaumia sana kwanza wazungu kussurrender kwa JPM na majadiliano kuanza tena yakiwa ya siri. ..ngojen pesa ikitolewa mseme imetolewa dolar si Euro...kuna watu hawana uzalendo walitakiwa wapewe adhabu ya kulima heka 10 kila siku kwa mkono na vboko 50 kila sku
Waliosaini mikataba mibovu ndiyo walipaswa kunyongwa kabisa!
 
Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana majamaa yamedinda kwelikweli na yanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.

Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .

Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
Waificha ''Details'' Za Matokeo ya hizo kamati mbili kwa manufaa ya Nani?
 
Hivi kuna mtu alitarajia chochote kwenye huu uzushi wa mchanga ?

SHERIA MPYA YA MADINI HAIHUSU MIGODI INAYOENDELEA - KABUDI
 
Sawa mkuu,naona concern yako zaidi ni kwamba kwa kumuamini Mungu utakosa

Concerns zako kuhusu consequences za kumuamini Mungu ni nyingi,that you will loose time,utakuwa na hofu kwa hiyo utakosa amani,utapoteza hela nyingi kwa kutoa sadaka nk. nk.Mkuu hayo mambo yanaweza kuonekana kwamba ni ya msingi sana,lakini frankly sio.Kumbuka kwamba we came in this world with nothing na hatutaondoka na kitu.Mfalme Suleimani with all his glory and riches at the end alitambua kwamba yote yalikuwa ni kufukuza upepo,substance ni Mungu.

Your argument is a fallacy. Kama hakuna Mungu, we came in this world with nothing, we will leave with nothing, then it follows kwamba the only time that counts is the time we are in this world.

Sasa muda huu mfupi ambao nipo hapa duniani unataka nimtolee sadaka Mungu ambaye hayupo, nipoteze muda wangu kwenda kanisani kumfuatilia Mungu ambaye hayupo na niishi kwa woga kumuogopa Mungu ambaye hayupo?

Mkuu naamini hata sasa huna amani kwa kuwa huna hakika kweli kwamba Mungu hayupo,hiyo peke yake ni torture.I wish you new that there is more comfort in realizing that all is fine and well with this God, who you are not sure whether he exists or not,and who you are running away from! This God proves himself.Mkuu do you want to tell me realistically how the Universe is designed with all the balance in forces is a game of chance? Do you realistically want to tell me that the Ecosystem with all the ecological niches superbly organized is a game of chance?Mkuu can you tell me realistically the origin of matter?Hivi unaweza kukuta meza nzuri iliyoandaliwa for dining with all the delicious foods iliyojiandaa yenyewe?Mkuu there is a designer of the Universe,the Ecosystem and matter.Submit to him.

Mungu wenu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo maovu yasingekuwepo.Yasingewezekana.

Kwa sababu Mungu huyo angeumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani kuwepo.

Ukweli kwamba maovu yapo unaonyesha kwamba Mungu huyo hayupo.

Wewe baba wa kibinadamu tu mwenye uwezo, ujuzi na upendo wenye mwisho, anahakikisha wanawe wanakula, wanavaa na wanaishi kwenye nyumba nzuri kadiri anavyoweza.

Huyu Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika kama alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kufanyika?

Unaposema ecosystems ziko superbly organized unashindwa kuelewa kwamba mwili wako tu hauna total efficiency.

Ndiyo maana unakunya. Kunya ni ku produce waste products. System inayo produce waste products haina total efficiency.

Sasa kwa nini Mungu mwenye uwezo wote aumbe system ambayo haina total efficiency?
 
Tatizo Ngosha anafanya vitu kama anaswaga ng'ombe chato
 
Your argument is a fallacy. Kama hakuna Mungu, we came in this world with nothing, we will leave with nothing, then it follows kwamba the only time that counts is the time we are in this world.

Sasa muda huu mfupi ambao nipo hapa duniani unataka nimtolee sadaka Mungu ambaye hayupo, nipoteze muda wangu kwenda kanisani kumfuatilia Mungu ambaye hayupo na niishi kwa woga kumuogopa Mungu ambaye hayupo?

Mungu wenu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo maovu yasingekuwepo.Yasingewezekana.

Kwa sababu Mungu huyo angeumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani kuwepo.

Ukweli kwamba maovu yapo unaonyesha kwamba Mungu huyo hayupo.

Wewe baba wa kibinadamu tu mwenye uwezo, ujuzi na upendo wenye mwisho, anahakikisha wanawe wanakula, wanavaa na wanaishi kwenye nyumba nzuri kadiri anavyoweza.

Huyu Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika kama alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kufanyika?

Unaposema ecosystems ziko superbly organized unashindwa kuelewa kwamba mwili wako tu hauna total efficiency.

Ndiyo maana unakunya. Kunya ni ku produce waste products. System inayo produce waste products haina total efficiency.

Sasa kwa nini Mungu mwenye uwezo wote aumbe system ambayo haina total efficiency?
Basi mkuu, nakung'uta mavumbi damu yako sidaiwi,naona uko mbali sana.Time will tell kama yupo au hayupo,ila mbele yake kila goti litapigwa pamoja na la kwako na kukiri kwamba yeye ni Bwana.Kwa heri.
 
Basi mkuu, nakung'uta mqvumbi damu yako sidaiwi,naona uko mbali sana.Time will tell kama yuko au hayuko,ila mbele yake kila goti litapigwa pamoja na la kwako na kukiri kwamba yeye ni Bwana.Kwa heri.
You are contradicting yourself.

Mara time will tell kama yupo au hayupo.

Mara kila goti litapigwa.

Hata wewe mwenyewe hujui kama unaamini yupo au huamini!

Ungeamini usingekuwa na haja ya kusema time will tell kama yuko au hayuko.
 
Maafikiano yatafikiwa tu. Istoshe mazungumzo hayo ni majadiliano ya pande zote mbili kwa hiyo mleta tetesi usilete tetesi ya kuhusisha upande mmoja. Istoshe serikali inataka mapato mazuri ya madini kwa mustakbali mzuri ya nchi yetu....kwani mzungu nani..

Tuvumilie kupata habari kamili.
 
kama itakuwa kweli basi ni ushindi mkubwa kwa lissu lakini kama itabaki kama ilivyo kudhani dhani na udaku,basi upinzani tanzania utabaki kushangilia vyama tawala wakisalia madarakani!
 
Maafikiano yatafikiwa tu. Istoshe mazungumzo hayo ni majadiliano ya pande zote mbili kwa hiyo mleta tetesi usilete tetesi ya kuhusisha upande mmoja. Istoshe serikali inataka mapato mazuri ya madini kwa mustakbali mzuri ya nchi yetu....kwani mzungu nani..

Tuvumilie kupata habari kamili.
Hivi unamjua mwizi wamadini yetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom