MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
[emoji37] [emoji37] ayaaa!!!Bora wewe unayesubiria, mimi nilishatengeneza barabara kabisa maana kuelekea nyumbani kulikuwa na bwawa kuwa la mto. Kilichonistua ni kumsikia fisiemu mmoja akinasibu Barick wamekubali kulipa ila itakuwa indirectly na kwa kuanzia zile billions za Bill Gates juzi kuwa ni sehemu ya hayo malipo!
Nimeishiwa nguvu na kukata tamaa ya noah.
Sent using Jamii Forums mobile app