Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

N
Nimekuelewa na nadhani wote watakuwa wamekuelewa. Mataifa yote (hata hayo ya G20) yanakua, lakini yote hayakui kwa ulinganifu mmoja, na yote yana mahali yalipoanzia. Lakini yote yanafanana ki malengo. Yote yanataka yafikie kilele cha mafanikio! Lakini, kama ukuaji ulivyo, kuna misukosuko na magonjwa ambayo hupunguza kasi ya ukuaji. Hayo, kama taifa linalokua, yasitukatishe tamaa dhidi ya dhamira yetu ya kusonga mbele!
 
Sote tunafahamu kuwa mapato ya Serikali kutoka kwenye makinikia yanatokana na madini ambayo yameainishwa kwenye mkataba kati ya Serikali na Barrick(Acacia).

Madini yanayotambuliwa kwenye mkataba ni Gold, Silver na Copper. Lakini Report ya Prof. Mruma ilibainisha kuwa kwenye makinikia kuna madini mengine mengi yenye dhamani na kwa kiwango cha kutosha ambayo huenda Barrick (Acacia) huyauza pia huyo Smelter lakini mapato yake hayatolewi tarifa Serikalini.

Kwa hiyo naishauri Team yetu kwenye Majadiliano ya Makinikia ihakikishe inapewa Mikataba yote kati ya Acacia (Barrick) na hao wananunuzi wa makinikia (Smelter) ili kujilidhisha kama mapato ya Acacia (Barrick) kwenye makinikia yanatokana na madini aina tatu tu (gold, copper et silver) au kuna madini mengine zaidi yaliyoainishwa na kamati ya Prof. Mruma.
 
Ukitaka kujua ulikuwa usanii, jiulize
1.Vita ya madawa ya kulevya iliishia wapi?
2. Usafi jiji la Dar wapi?
3. Nchi kuendeshwa kwa makusanyo ya kodi vipi?
4. Tuna viwanda vipya vingapi mpaka sasa
5.Mwaka jana bajeti ilitimia kwa asilimia nga?
Hapo ndo utajua tanzania ilivyo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapinzani uelewa wao ni mdogo sana wanakurupuka tu.
 
Ninachoogopa wasije wakasema sisi ndo tuwalipe kwa kuwachafua, Mungu aepushie mbali hili lisitokee
 
Wewe Mtutsi unafurahia Tanzania kuibiwa! Hatushangai. Lakini kama wakileta za kuleta si bora wafunge Migodi kuliko kuendelea kutuibia na kutufanya wajinga!! Nenda kapokee mshahara wa ukitimbakwira!!
 
Mimi nasubiri noa yangu maana pesa hizo zikilipwa ni nyingi mnoooo
Ha ha ha!!!!!! Kwani utalipwa kwa kazi gani mkuu????? Ngoja nikalime mie. Nimeambiwa kuna hela siku hizi kwenye kilimo.
 
Mtawanga mpaka asubuhi, awamu hii serikali anakaba mpaka ndani ya PENALTY BOX.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlizoea kupewa nyaraka za serikali na kujua kinachoendelea awamu hii hakuna hyo kitu,mtakalishwa mpka mkae
 

Acheni porojo

mi sina mengi

Nataka tu NOAH yangu
 
nasubiria NOAH yangu nimeshaioda kabisa
Bora wewe unayesubiria, mimi nilishatengeneza barabara kabisa maana kuelekea nyumbani kulikuwa na bwawa kubwa la mto. Kilichonistua ni kumsikia fisiemu mmoja akinasibu Barick wamekubali kulipa ila itakuwa indirectly na kwa kuanzia zile billions za Bill Gates juzi kuwa ni sehemu ya hayo malipo!
Nimeishiwa nguvu na kukata tamaa ya noah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…