Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine


kabisa mkuuu
 
Mchawi unaombea nchi kufilisika lakini kwa Magufuri kila goti litapigwa ,
Anayestahiki kupigiwa goti ni Mungu pekee. Hiyo nukuu ya Biblia ililenga ibada kwa Mungu pekee si kwa mwanadamu. Mahaba yenu kwa binadamu yasiwafanye mkamkufuru Mungu.
 
Don't dare me. Hahaha mzee wa KUBAGAZANA. Wangemwomba Lisu hilo ni jembe Ulaya.
 
Anayestahiki kupigiwa goti ni Mungu pekee. Hiyo nukuu ya Biblia ililenga ibada kwa Mungu pekee si kwa mwanadamu. Mahaba yenu kwa binadamu yasiwafanye mkamkufuru Mungu.

Lumumba hayo, yanaona huyo ndiye anayepaswa kupigiwa magoti na kila mtu
 
kabisa mkuuu

Magufuli n mtu ajabu sana! hii ni sawa na kusema mke wangu n mpambavu mbele ya umma wakati n msaidizi wako pale nyumbani....

Hiv alifikiria kabla ya kutamka???? unamteuaje mtu mpumbavu??? si umwondoe wakat mamlaka unae???
 
Mmeanza single mpya wazee wa MIGA. .mlianza kusema tutashtakiwa. ..pili Barrick hawaji kujadiliana. .. wamekuja sasa mnasema et kamati ya majadiliano imekwama. ..acheni ramli najua mnaumia sana kwanza wazungu kussurrender kwa JPM na majadiliano kuanza tena yakiwa ya siri. ..ngojen pesa ikitolewa mseme imetolewa dolar si Euro...kuna watu hawana uzalendo walitakiwa wapewe adhabu ya kulima heka 10 kila ssku kwa mkono na vboko 50 kila sku
 
Ayaaaahh! Naoh yangu ishaanza kuyeyuka!
 

hahahaha! hivi unajuwa maana ya kusurrender au unabwabwaja tu. wangesurrender hata tusiingia kwenye mazungumzo tena huku nyuma wakiendelea kutoa matamko tata. think big
 
Usiwe na kiherehere tulia

taarifa rasmi itawekwa hadharani
 

Waliosaini hizo mikataba ndo hawakuwa wazalendo waliweka matumbo yao mbele....

Inakuwaje unasaini mkataba unaokubatia 4% mwenzako anapata 96% wakati Mali n yao???????

tuanzie hapo kwanza.....
 
Serikali hii inazidi kunishangaza kila mara wanahubiri kubana matumizi lakini ajabu kuna kamati mojawapo ya kuchunguza makinikia ina karibu miezi miwili wamepanga vyumba kwenye hotel ya southern sun ambapo chumba kimoja ni usd 230 haieleweki inafanya kazi gani pale
 
Hizi kamati zilidanganya umma ndo maana wanashindwa kuzipangua hoja za wathungu,walifanya uchunguzi kumfurahisha Mkulu

Waliotuibia ni watanzania wwnzetu Wala siyo wathungu.....

Kuwa mwafrika n tabu kweli kweli
Utakuja kukana kauli yako hapahapa muda utaongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…