Majaji, Viongozi wa serikali, Magari ya Jeshi yanaongoza kwa kuvunja Sheria za Usalama barabarani

Majaji, Viongozi wa serikali, Magari ya Jeshi yanaongoza kwa kuvunja Sheria za Usalama barabarani

Katika watu wanaopaswa kutii sheria za barabarani ni Watu hawa, Majaji, Jeshi, Viongozi wa serikali, ila katika nchi yetu hii ipo tofauti sana, yan wanaongoza kuvunja sheria mnoo, bila hata sababu za msingi, na hata zingekwepo hawakupaswa kuvunja sheria.

Unakuta wanapita Njia ya magari ya kwenda wanakuwashia mataa, au dereva tu wa gari zenye Namba SU, SM, STL, STK wanakatiza bila kujali usalama wa dereva mwingine barabarani, hawaheshimu taa za barabarani, hawaheshimu sheria wala watumiaji wengine wa barabara.

Wanatembea na ving'ora kila sehemu, muda wowote, yan imefika pahala hatujui kazi ya King'ora ni nini tena.

Na ukiwabania wanakujia juu utadhan wao ndo wanahaki kuliko wanafamu wote

Watu hawa ni hatari kwa usalama wa watumiaji barabara, Tunaomba mamlaka ituzingatie, na kuwa na sheria ambayo itawashika hawa watu ipasavyo, matabaka haya hayakwwpo kipindi cha chuma.
Mamlaka gani hio wakati wao ndio wanaongoza hizo mamlaka? Umetaja majaji,viongozi wa serikali na wanajeshi.
 
Askari wapo kazini mda wote akae foleni huyo muhalifu ana msubiria tu.
Na waliokesha LINDO usiku kukulinda wewe watatolewa saa ngapi.
Askari akiwa kazini hana Sheria ya Barbara anatumia zote ili kuwahi.
Kwa upumbavu huu wa mpumbavu wewe,Tanzania itafikia level ya Namibia, Botswana miaka 500 ijao, President Nyerere era ni watumishi 4 tu waliokua na blue lights, Leo hata igp, cdf, 1 general star, sg wa ccm etc etc eti nao wana blue lights,halafu tuelewe kuwa blue lights ni kwa cops cars only, orange ni kwa vikosi vya uokoaji kama ambulance, fire brigades, Leo hapa kwetu ni uchafu tu
 
Kuna magari ya polisi yanayobeba kikosi cha FFU wanaoenda malindoni.

Hawa jamaa nao wanaongoza kwa kuvunja sheria barabarani.

Sijaelewa dharula zao zipo wapi kiasi cha kuvunja sheria za barabarani.
Hawa wajinga kuna siku wataanguka na bus au Lori lao ndio akili zitawakaa sawa.
 
Askari wapo kazini mda wote akae foleni huyo muhalifu ana msubiria tu.
Na waliokesha LINDO usiku kukulinda wewe watatolewa saa ngapi.
Askari akiwa kazini hana Sheria ya Barbara anatumia zote ili kuwahi.
Wewe utakuwa askari.
 
Nafikiri ulivamia ukashindwa kuelewa ninachojoji.

Wao ndio wanavunja sheria sababu ni Polisi wakati hakuna sehemu wanapewa hiyo mamlaka.
Wanavunja sheria huku wakitegemea watu wasivunje sheria ni upumbavu tu ambao upo hapa kwetu
Kwa mantiki hii
Nikiamua kuendesha gari hata kama taa hazijaruhusu ni sawa? Such kila mtu akiamua kufanya lake itakuaje barabarani?
 
Sasa ulitaka Askari akae foleni lindoni atafika saa ngapi na waliokaa lindoni watatolewa saa ngapi.
Nahisi utakuwa ni mmoja wa walinzi na wewe.

Ikiwa wanajua kuna foleni, kwanini wasianze safari mapema??
 
Unakuta wanapita Njia ya magari ya kwenda wanakuwashia mataa, au dereva tu wa gari zenye Namba SU, SM, STL, STK wanakatiza bila kujali usalama wa dereva mwingine barabarani, hawaheshimu taa za barabarani, hawaheshimu sheria wala watumiaji wengine wa barabara.
Dawa yake magari yafungwe dash camera zisaidie kuwabaini
 
Wabanie wakutolee upepo ukae masaa unasubiria upepo uchelewe kufika.
We pisha kaa kushoto acha wapite unakereka Nini kwa kitu Cha dakika tu.
Unakuta jitu hata ambulance halipishwi Kisha ujinga TU sijui mama yake angekuwa ndie mgonjwa kabebwa akafanyiwa hivyo nae angejisikiaje.
Kigari chenyewe Cha dada
Sasa kwanini baba yako hakutumia condom hadi ukazaliwa na akili za hivi!
Kwa akili hizi kuna watu unaamin wanaruhusiwa kukuf....
 
Kwa upumbavu huu wa mpumbavu wewe,Tanzania itafikia level ya Namibia, Botswana miaka 500 ijao, President Nyerere era ni watumishi 4 tu waliokua na blue lights, Leo hata igp, cdf, 1 general star, sg wa ccm etc etc eti nao wana blue lights,halafu tuelewe kuwa blue lights ni kwa cops cars only, orange ni kwa vikosi vya uokoaji kama ambulance, fire brigades, Leo hapa kwetu ni uchafu tu
Kuna wengine namba zinaanza na 03, 04, 02, 01 nao wanasumbua sana njiani
 
Sasa kwanini baba yako hakutumia condom hadi ukazaliwa na akili za hivi!
Kwa akili hizi kuna watu unaamin wanaruhusiwa kukuf....
Matusi ni kipimo Cha kichwani makamasi yamejaa
 
Kwa mantiki hii
Nikiamua kuendesha gari hata kama taa hazijaruhusu ni sawa? Such kila mtu akiamua kufanya lake itakuaje barabarani?
Nadhani hatuelewani, ni mwalimu gani aliwahi kumfundisha mwanafunzi wake kuwa ukiona unaelekea kupata ajali chomoka pita dirishani utakuwa umepona, au nenda kusho au kulia utakuwa umekwepa ajali.
 
Nadhani hatuelewani, ni mwalimu gani aliwahi kumfundisha mwanafunzi wake kuwa ukiona unaelekea kupata ajali chomoka pita dirishani utakuwa umepona, au nenda kusho au kulia utakuwa umekwepa ajali.
Pole mkuu wewe hukuelewa naongelea kuhusu sheria?
 
Back
Top Bottom