Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujajibu hoja. Hizo bilioni 8.8 Waziri aliziibaje. Alikuwa anatoza fedha kisha anaweka kwenye akaunti zake au namna gani.Wewe kwa akili yako lipi jambo muhimu lilipaswa kuanza kwa wafugaji ni Hereni au chanjo, Maji na malisho ya malisho ya mifugo? ungekuwa umetoka familia za kifugaji usingeongea hivyo .
Katibu Mkuu wake ni nani? wameshirikiana vipi hiyo Dili ni ya Katibu Mkuu au Waziri?Huyo Ndaki ni mwizi na fisadi kama mafisadi wengine. Wakishirikiana na katibu mkuu wa wizara husika wamekula pesa nyingi kwenye suala zima la hereni za mifugo
Hayo maswali sasa kamuulize Majaliwa aliyesitisha hilo zoezi mimi na wewe tumesikia tu bungeni zoezi la hereni limesitishwaBado hujajibu hoja. Hizo bilioni 8.8 Waziri aliziibaje. Alikuwa anatoza fedha kisha anaweka kwenye akaunti zake au namna gani.
Na vipi hilo zoezi lilitakiwa kufanyika bure kwamba serikali ilitoa fedha za watakaolisimamia zoezi au fedha zingetoka wapi kama wafugaji wasingelipia
Kumbuka ni mzazi wa mtuMashimba ndaki hafai kuwa waziri, huwa namuona Kama kikaragosi Fulani, sijui wamemtoa wapi huyu msukuma
Hamna jambo waziri anafanya bila idhini ya rais na maziri mkuu. Hayo yote rais alikua anayajua na waziri mkuu pia.WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi bungeni kusitisha zoezi la uvishaji hereni mifugo baada ya kubaini upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki.
Kwa mujibu wa Majaliwa hadi sasa jumla ya Ngombe 5,068,616 zimeshawekewa hereni hizo ambazo wafugaji wanauziwa kwa Shilingi 1,750 kwa kila ng'ombe mmoja
Ufisadi huu ulilalamikiwa kwa muda mrefu na wafugaji wengi lakini Waziri wa Mifugo, Mashimba Ndaki alishupaza shingo na kuendelea na msimamo wa kuendelea kuwaibia wafugaji huku akiwatangazia vitisho mbalimbali ikiwemo kufungwa au kupigwa faini ya shilingi milioni 2 kila ngombe atakayekuwa hana hereni.
Hadi Waziri Mkuu anasitisha zoezi hilo tayari Wafugaji wameshapigwa Bilioni 8.8 ambapo hadi sasa hawajui hatma ya fedha zao hizo baada ya agizo la Waziri Mkuu kusitisha mpango huo.
Mashimba Ndaki kwa muda mrefu sasa amekuwa akilalamikiwa kwa utendaji mbovu hasa kushindwa kusimamia Wizara hiyo na kujitika kwenye jambo moja tu la kuhamasisha uvishaji hereni mifugo
Huku Wafugaji wakikabiliwa na matatizo mengi ikiwemo ukosefu wa malisho, mifugo kufa kwa kukosa chanjo na madawa, migogoro kushamiri ambapo wafugaji wamekuwa wakiuawa na wakulima maeneo mbalimbali nchini lakini yote hayo Waziri ameshindwa kuyashughulikia amejikita kwenye suala moja tu la kuuza hereni.
Heko Majaliwa kwa kubaini upigaji huu mkubwa uliofanywa na Waziri Ndaki kuwaibia wafugaji masikini Bilioni 8.8 hii ni Kashfa kubwa sana tunaamini Mama akirejea kutoka China atachukua hatua dhidi.
Hawezi fanywa kitu maana alikua anafwata maagizo ya rais na waziiri mkuu. Waziri hawezi fanya kitu bila rais kujua.Nakuhakikishieni waziri Ndaki hafanywi lolote, ataendelea kua waziri Hadi 2025.
You can take this narrative to the bank.
Hizo ela zilikua zinalipwa kwa control number? Kama ni ndio huoni kwamba zimeenda benki kuu/serikalini?Ndio shida yetu watu wa akili ndogo, Waziri Mkuu anaongelea wafugaji kuibiwa Bilioni 8 na Waziri Mashimba wewe unasema hataondolewa kwenye uwaziri kwani nani anayesema aondolewe Muulize Majaliwa aliyestukia huo wizi usituambie sisi
Baada ya kushitukia je watu wako selo? Majaliwa ni msaniii sanaWAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi bungeni kusitisha zoezi la uvishaji hereni mifugo baada ya kubaini upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki.
Kwa mujibu wa Majaliwa hadi sasa jumla ya Ngombe 5,068,616 zimeshawekewa hereni hizo ambazo wafugaji wanauziwa kwa Shilingi 1,750 kwa kila ng'ombe mmoja
Ufisadi huu ulilalamikiwa kwa muda mrefu na wafugaji wengi lakini Waziri wa Mifugo, Mashimba Ndaki alishupaza shingo na kuendelea na msimamo wa kuendelea kuwaibia wafugaji huku akiwatangazia vitisho mbalimbali ikiwemo kufungwa au kupigwa faini ya shilingi milioni 2 kila ngombe atakayekuwa hana hereni.
Hadi Waziri Mkuu anasitisha zoezi hilo tayari Wafugaji wameshapigwa Bilioni 8.8 ambapo hadi sasa hawajui hatma ya fedha zao hizo baada ya agizo la Waziri Mkuu kusitisha mpango huo.
Mashimba Ndaki kwa muda mrefu sasa amekuwa akilalamikiwa kwa utendaji mbovu hasa kushindwa kusimamia Wizara hiyo na kujitika kwenye jambo moja tu la kuhamasisha uvishaji hereni mifugo
Huku Wafugaji wakikabiliwa na matatizo mengi ikiwemo ukosefu wa malisho, mifugo kufa kwa kukosa chanjo na madawa, migogoro kushamiri ambapo wafugaji wamekuwa wakiuawa na wakulima maeneo mbalimbali nchini lakini yote hayo Waziri ameshindwa kuyashughulikia amejikita kwenye suala moja tu la kuuza hereni.
Heko Majaliwa kwa kubaini upigaji huu mkubwa uliofanywa na Waziri Ndaki kuwaibia wafugaji masikini Bilioni 8.8 hii ni Kashfa kubwa sana tunaamini Mama akirejea kutoka China atachukua hatua dhidi.
Kwahiyo lawama za Waziri wa Mifugo zinatoka wapi.Hayo maswali sasa kamuulize Majaliwa aliyesitisha hilo zoezi mimi na wewe tumesikia tu bungeni zoezi la hereni limesitishwa
K**a kama nyinyi hamkosekaniWewe kwa akili yako lipi jambo muhimu lilipaswa kuanza kwa wafugaji ni Hereni au chanjo, Maji na malisho ya malisho ya mifugo? ungekuwa umetoka familia za kifugaji usingeongea hivyo .
Mama mpeni safari za nje tuu. Nyie pigeni hana story.Nakuhakikishieni waziri Ndaki hafanywi lolote, ataendelea kua waziri Hadi 2025.
You can take this narrative to the bank.
Kwamba Mashimba Ndaki ndio kapiga 😆😆WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi bungeni kusitisha zoezi la uvishaji hereni mifugo baada ya kubaini upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki.
Kwa mujibu wa Majaliwa hadi sasa jumla ya Ngombe 5,068,616 zimeshawekewa hereni hizo ambazo wafugaji wanauziwa kwa Shilingi 1,750 kwa kila ng'ombe mmoja
Ufisadi huu ulilalamikiwa kwa muda mrefu na wafugaji wengi lakini Waziri wa Mifugo, Mashimba Ndaki alishupaza shingo na kuendelea na msimamo wa kuendelea kuwaibia wafugaji huku akiwatangazia vitisho mbalimbali ikiwemo kufungwa au kupigwa faini ya shilingi milioni 2 kila ngombe atakayekuwa hana hereni.
Hadi Waziri Mkuu anasitisha zoezi hilo tayari Wafugaji wameshapigwa Bilioni 8.8 ambapo hadi sasa hawajui hatma ya fedha zao hizo baada ya agizo la Waziri Mkuu kusitisha mpango huo.
Mashimba Ndaki kwa muda mrefu sasa amekuwa akilalamikiwa kwa utendaji mbovu hasa kushindwa kusimamia Wizara hiyo na kujitika kwenye jambo moja tu la kuhamasisha uvishaji hereni mifugo
Huku Wafugaji wakikabiliwa na matatizo mengi ikiwemo ukosefu wa malisho, mifugo kufa kwa kukosa chanjo na madawa, migogoro kushamiri ambapo wafugaji wamekuwa wakiuawa na wakulima maeneo mbalimbali nchini lakini yote hayo Waziri ameshindwa kuyashughulikia amejikita kwenye suala moja tu la kuuza hereni.
Heko Majaliwa kwa kubaini upigaji huu mkubwa uliofanywa na Waziri Ndaki kuwaibia wafugaji masikini Bilioni 8.8 hii ni Kashfa kubwa sana tunaamini Mama akirejea kutoka China atachukua hatua dhidi.
Hayo maswali sasa kamuulize Majaliwa aliyesitisha hilo zoezi mimi na wewe tumesikia tu bungeni zoezo limesitishwaBado hujajibu hoja. Hizo bilioni 8.8 Waziri aliziibaje. Alikuwa anatoza fedha kisha anaweka kwenye akaunti zake au namna gani.
Na vipi hilo zoezi lilitakiwa kufanyika bure kwamba serikali ilitoa fedha za watakaolisimamia zoezi au fedha zingetoka wapi kama wafugaji wasingelipia
CCM kuna vijana wa ovyo sanaNdio shida yetu watu wa akili ndogo, Waziri Mkuu anaongelea wafugaji kuibiwa Bilioni 8 na Waziri Mashimba wewe unasema hataondolewa kwenye uwaziri kwani nani anayesema aondolewe Muulize Majaliwa aliyestukia huo wizi usituambie sisi