ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Rais ndio the State ,hizo zingine ni porojo za kufanya siku iendeHahahhaha safi sana, kuna watu humu walikua wanapiga kelele sijui the State imeanda mgombea, sijui Samia hawezi chukua fomu, sijui kuna wazee wameshauri jina la mgombea. Hii precedence aliifanya JPM 2020 kwa kufukuza wote waliotaka kugombea 2020 sasa wembe ule ule unatumika kwa sukuma gang wataotaka fomu 2025
📌📌🔨 Imekukata 🤣🤣🤣🤣Aibu kubwa hii hata wazee wanakuwa machawa
Huo ni utamaduni wao haihitaji uchawa ni sawa na Mbowe kuongoza Chadema haihitaji chawa.Aibu kubwa hii hata wazee wanakuwa machawa
Mods unganisha huu Uzi hapa Majaliwa & Kinana: Washauri CCM itoe Fomu 1 ya Mgombea Urais 2025.Ndugu zangu Watanzania,
Nashukuru kuwa viongozi wetu wakubwa ngazi ya Taifa chamani na serikalini wameanza kutambua kiu ya mamilioni ya watanzania waliyo nayo ya vifuani pao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia kwa mhula wa pili.
Mh Kasimu Majaliwa ambaye ni waziri Mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania amemuomba makamu mwenyekiti wa CCM Taifa Mh Kinana kwenda kuwashawishi wajumbe wa kamati kuu na halmashauri kuu ya CCM Taifa kuchapisha Fomu moja tu ya Urais kwa ajili ya Rais Samia.
Jambo ambalo Mh kinana aliliunga mkono kwa kutambua kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan,akasema ni utamaduni wa CCM kumpa muhula wa pili kiongozi anayekuwa amemaliza muhula wake wa kwanza .akasema ameona kila mtu anayesimama kuzungumza anazungumza namna Mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika Taifa letu.
Mimi mwashambwa nimewahi kuzungumza humu jukwaani kuwa wanaccm wanapaswa kukata kiu ya watanzania kwa kuwapa chaguo na hitaji lao Ambalo ni Rais Samia. CCM itawakatisha Sana tamaa , kuwavunja moyo na kuwabubujisha sana machozi Watanzania isipowapelekea Rais Samia kama mgombea wake.
Watanzania wanamhitaji Rais Samia.huyo ndio chaguo lako,.ndio chaguo la vijana,akina mama,wazee, bodaboda,waendesha bajaji,wakulima, wafanyabiashara,wanafunzi wa vyuo, watumishi wa umma.n.k.
CCM Haina budi kusikiliza sauti za watu zinazoendelea kupazwa zikimhitaji Rais samia muhula wa pili. Huyo ndiye ambaye atapewa kura za ndio kwa kishindo kitakachoitikisa Tanzania nzima. CCM tuleteeni Rais Samia kukata kiu yetu watanzania.CCM tuleteeni chaguo letu Rais Samia.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Huna akiliKwa Mujibu wa Kinana na Majaliwa mwaka 2025 CCM itatoa fomu Moja tuu ya mgombea Urais Kwa sababu ni utamaduni wa ccm mgombea Rais lazima aendelee kuwa mgombea Kwa awamu ya Pili.
View: https://www.instagram.com/p/C1mxNWoAY4d/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
My Take
Utaratibu wa fomu Moja alianzisha Mwendazake
View attachment 2860314
Wewe akili unazo?Huna akili
Vipi tena mbona maelekezo!Mods unganisha huu Uzi hapa Majaliwa & Kinana: Washauri CCM itoe Fomu 1 ya Mgombea Urais 2025.
😂🤣Aibu kubwa hii hata wazee wanakuwa machawa
Sio maelekezo zimeanzishwa nyuzi 2 zinazofanana maudhuiVipi tena mbona maelekezo!
Kwanini ule mwingine usiungwe hapa alisikika jamaa akiuliza!Sio maelekezo zimeanzishwa nyuzi 2 zinazofanana maudhui
Samahani mkuu nilikuwa sijaona mada yako na kama ningekuwa nimeiona nisingeanzisha nyingine.Sio maelekezo zimeanzishwa nyuzi 2 zinazofanana maudhui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa balaa.Kama mpaka leo haujawahi kupigiwa simu, basi achana na namba ya vodacom sasa hivi uwe mzalendo utumie TTCL
💯 💯Samahani mkuu nilikuwa sijaona mada yako na kama ningekuwa nimeiona nisingeanzisha nyingine.
Rais Samia Ni chaguo la watanzania