Pre GE2025 Majaliwa & Kinana washauri CCM itoe Fomu 1 ya Mgombea Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CHAMA CHA SIASA KIKUBWA KAMA CCM KUTOA FOMU MOJA YA URAIS NI kutojiamini na Mgombea Wake

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
CHAMA CHA SIASA KIKUBWA KAMA CCM KUTOA FOMU MOJA YA URAIS NI kutojiamini na Mgombea Wake

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Sisi wanachama ndio tumetaka iwe hivyo maana tuna imani kubwa na Rais Samia kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka. Vipi Lowassa alishindanishwa na nani kwenye Sacco's yenu ya CHADEMA iliyopoteza muelekeo na Dira?
 
Huyu mwanasiasa kijana umri bado unaruhusu anaweza kugombea huko 2035 na kuendelea
 
Fomu si tumeambiwa ni moja? Huyo atachukua ipi sasa?
 
Wanasema hivyo midomoni moyoni wanasema tofauti. Wao hii hali ya sasa hawaioni Nchi imekuwa kama haina uongozi kila mmoja anajifanyia atakavyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…