Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wajinyee kuliko Machadema kushika NchiHata iwe ya 100.
Hizo habari za utamaduni ni kisingizio tu.
Waseme tu wanataka udikteta na wanajinyea kwa kuogopa upinzani ndani ya CCM.
Lakini hapa hatuongelei CHADEMA.Bora wajinyee kuliko Machadema kushika Nchi
Ccm hakuna upinzaniLakini hapa hatuongelei CHADEMA.
Hapa tunaongelea upinzani ndani ya CCM kuminywa.
Can you stitch two thoughts together in a logical way without throwing in an irrelevant logical non sequitur fallacy?
Sasa kama hakuna upinzani si mruhusu watu wajitokeze kumpinga rais tuone hakuna upinzani?Ccm hakuna upinzani
Mbwa weweMtakuwa mumechoka wewe na nani? Maendeleo yapi yamesimama?
Kwa Mujibu wa Kinana na Majaliwa mwaka 2025 CCM itatoa fomu Moja tuu ya mgombea Urais Kwa sababu ni utamaduni wa ccm mgombea Rais lazima aendelee kuwa mgombea Kwa awamu ya Pili.
View: https://www.instagram.com/p/C1mxNWoAY4d/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
My Take
Utaratibu wa fomu Moja alianzisha Mwendazake
View attachment 2860314
Kwani fomu zikichapwa hata 10 wakajitokeza wana ccm wengine lakini wanachama tukampitisha samia kuna shida? Hiyo si ndio demokrasia? Au tunaogopa wakichukua fomu wengine samia ataangushwa?Hapana siyo ubabe bali ni mahitaji yetu Wana CCM ambao tumeridhishwa na uchapa kazi wa Rais Samia na tunataka kuwapatia watanzania hitaji lao na kukata kiu yao.
Watawala wa Africa..sasa naamini hata Mugabe na yule raisi wa Cameron ni watu aina ya Majaliwa ndio wanawalazimisha wasiache uongozi... Huyu Majaliwa amekufanya kwao kama alivofanya Magufuli kukujenga mbinfsi mkubwa huyu,bara vara ya kwao hapo Mbagara Kizinga kero ya ajabu inauwa watu,yeye hana time,bule kabisa na hao kina Ulega.Ndugu zangu Watanzania,
Nashukuru kuwa viongozi wetu wakubwa ngazi ya Taifa chamani na serikalini wameanza kutambua kiu ya mamilioni ya watanzania waliyo nayo ya vifuani pao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia kwa mhula wa pili.
Mh Kasimu Majaliwa ambaye ni waziri Mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania amemuomba makamu mwenyekiti wa CCM Taifa Mh Kinana kwenda kuwashawishi wajumbe wa kamati kuu na halmashauri kuu ya CCM Taifa kuchapisha Fomu moja tu ya Urais kwa ajili ya Rais Samia.
Jambo ambalo Mh kinana aliliunga mkono kwa kutambua kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan,akasema ni utamaduni wa CCM kumpa muhula wa pili kiongozi anayekuwa amemaliza muhula wake wa kwanza .akasema ameona kila mtu anayesimama kuzungumza anazungumza namna Mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika Taifa letu.
Mimi mwashambwa nimewahi kuzungumza humu jukwaani kuwa wanaccm wanapaswa kukata kiu ya watanzania kwa kuwapa chaguo na hitaji lao Ambalo ni Rais Samia. CCM itawakatisha Sana tamaa , kuwavunja moyo na kuwabubujisha sana machozi Watanzania isipowapelekea Rais Samia kama mgombea wake.
Watanzania wanamhitaji Rais Samia.huyo ndio chaguo lako,.ndio chaguo la vijana,akina mama,wazee, bodaboda,waendesha bajaji,wakulima, wafanyabiashara,wanafunzi wa vyuo, watumishi wa umma.n.k.
CCM Haina budi kusikiliza sauti za watu zinazoendelea kupazwa zikimhitaji Rais samia muhula wa pili. Huyo ndiye ambaye atapewa kura za ndio kwa kishindo kitakachoitikisa Tanzania nzima. CCM tuleteeni Rais Samia kukata kiu yetu watanzania.CCM tuleteeni chaguo letu Rais Samia.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Tumelala wafanyeje ingekuwa maandamano Dar nzima wangewasha umeme panda hawa.Nchi haina umeme, wao wanawaza fomu ya uchaguzi wa urais.
Embu andika kwa kutulia ueleweke vizuri maana naona umeandika utafikiri unakimbizwa na mbwa mwenye kichaaWatawala wa Africa..sasa naamini hata Mugabe na yule raisi wa Cameron ni watu aina ya Majaliwa ndio wanawalazimisha wasiache uongozi... Huyu Majaliwa amekufanya kwao kama alivofanya Magufuli kukujenga mbinfsi mkubwa huyu,bara vara ya kwao hapo Mbagara Kizinga kero ya ajabu inauwa watu,yeye hana time,bule kabisa na hao kina Ulega.
Haijalishi ubovu wa kiongozi husika, ila CCM kwa maslahi ya watu binafsi hamjamboWana CCM Ndio wanaotaka iwe hivyo na hakuna mwana CCM yeyote atakayechukua Fomu ya Urais,maana kila mmoja anajuwa kuwa utamaduni wa CCM Ni lazima mtu amalizie muhula wake wa pili.
Kama Samiah anamsikia Majaliwa akisema hayo Bas!Ndugu zangu Watanzania,
Nashukuru kuwa viongozi wetu wakubwa ngazi ya Taifa chamani na serikalini wameanza kutambua kiu ya mamilioni ya watanzania waliyo nayo ya vifuani pao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia kwa mhula wa pili.
Mh Kasimu Majaliwa ambaye ni waziri Mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania amemuomba makamu mwenyekiti wa CCM Taifa Mh Kinana kwenda kuwashawishi wajumbe wa kamati kuu na halmashauri kuu ya CCM Taifa kuchapisha Fomu moja tu ya Urais kwa ajili ya Rais Samia.
Jambo ambalo Mh kinana aliliunga mkono kwa kutambua kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan,akasema ni utamaduni wa CCM kumpa muhula wa pili kiongozi anayekuwa amemaliza muhula wake wa kwanza .akasema ameona kila mtu anayesimama kuzungumza anazungumza namna Mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika Taifa letu.
Mimi mwashambwa nimewahi kuzungumza humu jukwaani kuwa wanaccm wanapaswa kukata kiu ya watanzania kwa kuwapa chaguo na hitaji lao Ambalo ni Rais Samia. CCM itawakatisha Sana tamaa , kuwavunja moyo na kuwabubujisha sana machozi Watanzania isipowapelekea Rais Samia kama mgombea wake.
Watanzania wanamhitaji Rais Samia.huyo ndio chaguo lako,.ndio chaguo la vijana,akina mama,wazee, bodaboda,waendesha bajaji,wakulima, wafanyabiashara,wanafunzi wa vyuo, watumishi wa umma.n.k.
CCM Haina budi kusikiliza sauti za watu zinazoendelea kupazwa zikimhitaji Rais samia muhula wa pili. Huyo ndiye ambaye atapewa kura za ndio kwa kishindo kitakachoitikisa Tanzania nzima. CCM tuleteeni Rais Samia kukata kiu yetu watanzania.CCM tuleteeni chaguo letu Rais Samia.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Rais Samia Ndiye Chaguo la mamilioni ya watanzania.Kama Samiah anamsikia Majaliwa akisema hayo Bas!
Anatakiwa aingie xhumbani ajifungie Alie sana!!
Majaliwa haaminiki!!
Labda kama atakua makam was Rais sawa!!
Afadhali hata nguruwe maana Kuna baadhi humfanya hata kitiweo. Ila hili jamaa linaonekana na jina refu bila akili. Ati watanzania, limewahesabia wapi? Jinga sana.Ww Lucas Mwashambwa ni nguruwe mtupu...
Duh mwanangu hivi unajielewa kweli wewe. Tangu umeanza hizi mambo hujapewa hata ubalozi wa nyumba 10pamoja na kuweka namba zako. Huwa nakutafakali sana nina wasiwasi itabidi ukatibiweNdugu zangu Watanzania,
Nashukuru kuwa viongozi wetu wakubwa ngazi ya Taifa chamani na serikalini wameanza kutambua kiu ya mamilioni ya watanzania waliyo nayo ya vifuani pao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia kwa mhula wa pili.
Mh Kasimu Majaliwa ambaye ni waziri Mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania amemuomba makamu mwenyekiti wa CCM Taifa Mh Kinana kwenda kuwashawishi wajumbe wa kamati kuu na halmashauri kuu ya CCM Taifa kuchapisha Fomu moja tu ya Urais kwa ajili ya Rais Samia.
Jambo ambalo Mh kinana aliliunga mkono kwa kutambua kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan,akasema ni utamaduni wa CCM kumpa muhula wa pili kiongozi anayekuwa amemaliza muhula wake wa kwanza .akasema ameona kila mtu anayesimama kuzungumza anazungumza namna Mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika Taifa letu.
Mimi mwashambwa nimewahi kuzungumza humu jukwaani kuwa wanaccm wanapaswa kukata kiu ya watanzania kwa kuwapa chaguo na hitaji lao Ambalo ni Rais Samia. CCM itawakatisha Sana tamaa , kuwavunja moyo na kuwabubujisha sana machozi Watanzania isipowapelekea Rais Samia kama mgombea wake.
Watanzania wanamhitaji Rais Samia.huyo ndio chaguo lako,.ndio chaguo la vijana,akina mama,wazee, bodaboda,waendesha bajaji,wakulima, wafanyabiashara,wanafunzi wa vyuo, watumishi wa umma.n.k.
CCM Haina budi kusikiliza sauti za watu zinazoendelea kupazwa zikimhitaji Rais samia muhula wa pili. Huyo ndiye ambaye atapewa kura za ndio kwa kishindo kitakachoitikisa Tanzania nzima. CCM tuleteeni Rais Samia kukata kiu yetu watanzania.CCM tuleteeni chaguo letu Rais Samia.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Nilikasirishwa mnauzi na haya mamboyenu.Embu andika kwa kutulia ueleweke vizuri maana naona umeandika utafikiri unakimbizwa na mbwa mwenye kichaa