Pre GE2025 Majaliwa & Kinana washauri CCM itoe Fomu 1 ya Mgombea Urais 2025

Pre GE2025 Majaliwa & Kinana washauri CCM itoe Fomu 1 ya Mgombea Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umeandika nini sasa?
hujaelewa nini hapo? nilisema ukitaka kujua akili za watanzania waliowengi angalia/ sikiliza fikra na mawazo ya mi ccm kama wewe. yaani kiongozi kama pm anagalagagaza wa mama wa watu chini huku yeye akiwa jukwaani na simu yake akipiga picha. kisha baadae anasema chama kinapendwa na watz.
mtaji wa ccm ni umasikini na ujinga wa wtz kama wale wa rwangwa
 
Kwani kuna wilaya, kitongoji au Kijiji kilichosema atakuwa kassim, au kuna Siku alitangaza nia, au lengo Ni kimshambulia bila sababu.

Nchi imebomolewa na ernino nyie mnatumia fedha za Tanganyika kujenga zenji huku mnajishtukia
 
Ni sawa kabisa, mtu anafanya maendeleo makubwa katika nchi unamuachaje sasa? Nchi sio sehemu ya kufanya majaribio kumuweka mtu asiyefahamika hata anaishi wapi
 
Huu ubabe sasa. Unachapishaje fomu moja wakati ni demokrasia kila mwana CCM ana haki ya kugombea urais?
Hapana siyo ubabe bali ni mahitaji yetu Wana CCM ambao tumeridhishwa na uchapa kazi wa Rais Samia na tunataka kuwapatia watanzania hitaji lao na kukata kiu yao.
 
Ukitaka kujua akili za watanzania angalia fikra za wana ccm.
yaani karne ya 21 mtu anawagalagaza wenzake kwenye vumbi yeye akiwa jukwaani amevaa suti yake
Karne ya 21 unawatangazia watu Mr X ni fisadi na unamuweka kwny website rasmi ya Chama chako halafu miaka michache unarudi kuwatangazia kuwa huyo mtu ndio bora zaid kuwa Rais wa Tanzania

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Mujibu wa Kinana na Majaliwa mwaka 2025 CCM itatoa fomu Moja tuu ya mgombea Urais Kwa sababu ni utamaduni wa ccm mgombea Rais lazima aendelee kuwa mgombea Kwa awamu ya Pili.

View: https://www.instagram.com/p/C1mxNWoAY4d/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Utaratibu wa fomu Moja alianzisha Mwendazake
View attachment 2860314

Huu ni udikteta tu.

Mbona Jakaya Kikwete alipingwa na John Shibuda mpaka Kikwete akaibuka kidedea kwenye kutafuta mgombea wa CCM, wakati Kikwete akiwa bado rais?
 
Huu ni udikteta tu.

Mbona Jakaya Kikwete alipingwa na John Shibuda mpaka Kikwete akaibuka kidedea kwenye kutafuta mgombea wa CCM, wakati Kikwete akiwa bado rais?
Hii ni awamu ya 6 sio ya 4
 
Huu ni udikteta tu.

Mbona Jakaya Kikwete alipingwa na John Shibuda mpaka Kikwete akaibuka kidedea kwenye kutafuta mgombea wa CCM, wakati Kikwete akiwa bado rais?
Katiba ya Tanzania inampa nafasi Rais kuwa dikteta, asipokua dikteta kaamua yeye mwenyewe
 
Katiba ya Tanzania inampa nafasi Rais kuwa dikteta, asipokua dikteta kaamua yeye mwenyewe

Tukiongelea katiba, hapa tupo ndani ya CCM.

Hebu tuiangalie katiba ya CCM.

Katiba ya CCM haisemi rais akiwa anagombe urais kwa muhula mwingine asipingwe ndani ya CCM.

Hii move ni kinyume na katiba ya CCM. Inaminya uhuru wa wana CCM kumpinga rais wa CCM uliomo katika katiba ya CCM.
 
Back
Top Bottom