Majambazi 10 yalijipanga mstari mmoja barabarani usiku kuzuia gari langu lisipite

Fursa na zali kama hizi nazitafuta sanana kuomba zinitokee lakini wapi lakini zinawatokea wengine. Ingekuwa mimi ningeshuka na kuwatembezea mkong'oto wa nguvu
 
Nimecheka sana majambazi yameshikana mikono ukamsimulia na mkeo mkaa mkaomba ukasimulia Na kanisani wakakupa pole. Ombea uje ukutane na wazee wa kazi kona za Iyovi hata huyo Yesu kama utamkumbuka
 
H
Hao hawakuwa Watu bali ni Vibwengo
 

Kwa haraka tu, ww muoga sana bila hata kumalizia story yako
 
Ukisikika katika vyombo mbalimbali vya habari kama redio, tv, kuandika makala za uchambuzi magazetini na hata humu kwenye mitandao ya kijamii watakuona. Pia uwe unashiriki kutoa maoni yako katika vipindi vyao kupitia anuani zao za kimtandao.

Mimi nimeshiriki harakati za kisiasa miaka mingi ikiwemo kuanzisha chama cha siasa. Lakini Sumaye alikifuta alipokuwa Waziri Mkuu akidai nahamasisha vijana kuleta vurugu nchini, japo nilikuwa nawahamasisha wajitambue na kuchukua hatamu za uongozi, uthubutu na ubunifu.
Gwap

o habari mkuu,DW inakuwaje kuwa mchambuzi? natamani sana.
 
Glory to God...
 
Rubbish
 
Nimecheka sana majambazi yameshikana mikono ukamsimulia na mkeo mkaa mkaomba ukasimulia Na kanisani wakakupa pole. Ombea uje ukutane na wazee wa kazi kona za Iyovi hata huyo Yesu kama utamkumbuka
Subiri, kuna tukio jingine, siku nikipata nafasi ntasimulia. Hapo ndio utajua Yesu ni Jina Kuu sana kupita majina yote hata ya hao wazee wa kazi kona za Iyovi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…