Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bastola ikiwekwa mfukoni inaonekana?Vibaka wazuie gari kwa mikono kuna watu waoga sana aisee mwanaume haitakiwi uwe muoga muoga bhana daah kwa uoga huo unaweza kuwahesabu vibaka kweli ? Vibaka hawana hana siraha yeyote unawaita majambazi...
Bongo watu sio violent anaweza akawa na bastola na akaibiwa yaani anajiuliza sana na pia anaweka mazingira ya kuogopa dhambi tena,watu wenye bastola hawasimamishi gari kwa mikonoBastola ikiwekwa mfukoni inaonekana?
Kha! Wanakikoba!?Uliskia wapi majambazi 10 siyo wanakikoba hao wamekivunja usiku?