Majambazi 10 yalijipanga mstari mmoja barabarani usiku kuzuia gari langu lisipite

Majambazi 10 yalijipanga mstari mmoja barabarani usiku kuzuia gari langu lisipite

Asante kwa story. Hao walikuwa vibaka.

Majambazi hawakai kijinga hivyo.
 
mkuu siyo ww ndo ulivuta bhangi?? jambazi ajipange barabarani ili kuzuia gari?
 
Wangekuwa majambazi wangeweka kizuizi kama gogo au jiwe kubwa , Ni vibaka tu .
 
Vijana tunatamani kuja kumiliki gari na kumbe ukimiliki gari kuna mengine yatakufuata. Sasa sijui tushike lipi tuache lipi
 
We jamaa ni muongo sana toka lini majambazi wanao iba magari eti wamesimama barabarani acha unafiki majambazi hua wanaweka mawe mazito au magogo ili usimame wakuibie iti wewe unasema wajipanga barabarani wao hawaogopi kufa wewe umekutana na wachawi tu
 
Kama kweli walikuwa mita 200 mbona ungegeuza tu gari na kurudi ulikotoka ,ila jamaa tangu lini majambazi wakashikana mikono labda nj waimba kwaya tu hao
 
Hapo waliposhangilia Heheheee. Watakua walikua wanakutania
 
kilometa kama kumi kutokea nyumbani kwangu.......kwa mwendo wa kilometa kama 50 kwa saa,
nieleweshe hapa kwanza
 
Back
Top Bottom