Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Jambazi anastahili kufa!! Na wafe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiwaua wote nani atawaelekeza wengine walipojificha?
Wangebakisha hata mmojatu akaonesha ramani ya walipo wengine,nani anawawezesha na nikwanini wanaua
 
wangemkamata mmoja tu asaidie kuwataja wahusika wengine
 
Maswali mawili nimeona humu ndani
1) watu hawana uhakika kama kuna majambazi yameuawa.
2) Hatakama kuna walio uawa watu hawana uhakika kama waliouawa kweli ni majambazi.

Haya mawili yakipata majibu humu patakuwa shwari.
 
Ila askari walioshambuliwa na kuuawa tulionyeshwa picha,vyote hii ni kuleta ufanisi,kumfunika Mangu kuwa alikuwa mweupe.

2020 Sea-raw anaweza kuleta maafa sana,maana nawaza tu jinsi alivyokuwa anamtii Makonde na kujibiidisha,je wakati wa uchaguzi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…