Wakuacha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 2,046
- 1,337
Jambazi hastahili kuendelea kuishi hongera sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambazi anastahili kufa!! Na wafe tu.Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
unawezaje kumshka MTU anasilaha ya moto!Je, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.
Eti! Usanii mwingine bhana!!
Kuna picha hapo zinatia mashaka fulani hivi. Na hao majambazi 13 ilikuwaje kuwaje wakapotezwa hivyo?smg 8... japo sijapitia mgambo hata mimi siwezi kuhamini huu uongo....
kazi gani yakuigiza mbele yakamela!!!Jambazi hastahili kuendelea kuishi hongera sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri....
Sent using Jamii Forums mobile app
Zikishawekwa we itakusaidia nini? Wakati wao wanaua wananchi wasio kua na hatia walikua wanapost picha?Tunaomba picha zao ziwekwe,
Nenda mochwari mkuu