kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
inaelekea wamehojiwa ndio wakafuatwa walipo na kudungwa risasi. hawa ukiwafikisha mahakamani ni kuwapa nafasi kueneza chuki.Je, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.