Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Je, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.
inaelekea wamehojiwa ndio wakafuatwa walipo na kudungwa risasi. hawa ukiwafikisha mahakamani ni kuwapa nafasi kueneza chuki.
 
Sikiliza habar vizur usikurupuke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwann wasiwakamate wakiwa hai ili wawabane waseme mtandao wao wa uhalifu badala ya kuwauwa na ushahidi kupotea kabisa. je kuna kitu kinafichwa?
 
Hell no?...ushaambiwa kulikuwa na majibizano how possible kuyakamata majambazi yenye silaha,tuache u Magharibi kwenye mambo ya msingi justice and obedience are kinsmen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mortar unaijua au umekariri za kweny video!?
 
Reactions: Qss
Majibizano ya risasi yameua watu wote 13 pamoja na mtuhumiwa aliowapeleka mafichoni lakini hakuna polisi hata mmoja aliopata shida yoyote ? Hata shati kuchanika?

Jeshi letu liko vizuri sana aisee.
 
Watu 13 wanaodaiwa kuwa ahalifu wameuawa na Askari wa Jeshi la Polisi. Watu hao wamekutwa na Bunduki nane, Pikipiki mbili pamoja na Begi moja la nguo.


Wanaodaiwa !!
Bahati mbaya maiti hawaongei na hivyo hawawezi kujitetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…