Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hao "majambazi" nao wanakuwa na ufahamu na uelewa kama huu wako wanapokuwa kwenye harakati zao?Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Kwa hiyo ni bora wananchi wauaweHell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Maheremu hakuna picha zao? Hata nusu miili tu? Na je hakuna aliyekuwa walau na kitambulisho chochote?Watu 13 wanaodaiwa kuwa ahalifu wameuawa na Askari wa Jeshi la Polisi. Watu hao wamekutwa na Bunduki nane, Pikipiki mbili pamoja na Begi moja la nguo.
Tukio hilo limetokea katika maeneo ya Tangibovu Kijiji cha Milaweni, huko Kibiti Mkoani Pwani.
Chanzo: Jeshi la Polisi Tanzania(Ukurasa wa Twitter)
Kwani walikuwa wanafikiri serikali ya magufuli na vyombo vyake vya ulinzi na Usalama VIMEENDA LIKIZO?Watu 13 wanaodaiwa kuwa ahalifu wameuawa na Askari wa Jeshi la Polisi. Watu hao wamekutwa na Bunduki nane, Pikipiki mbili pamoja na Begi moja la nguo.
Tukio hilo limetokea katika maeneo ya Tangibovu Kijiji cha Milaweni, huko Kibiti Mkoani Pwani.
Chanzo: Jeshi la Polisi Tanzania(Ukurasa wa Twitter)
Hao waliouawa tayari kuna wengine walitoa ushirikiano hao wakapatwa ktk maficho yao!Je, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.
Kwani toka mwanzo hujasikia kuwa kuna wengine walikamatwa?? Operation haijaanzia kwa hawa tu!Hakuna majeruhi/survivor hata mmoja tu asaidie kueleza kwa nini walikuwa (allegedly) wanavamia na kuua viongozi wa CCM tu? Kwanini tumewaua wote? Kwanini hata mmoja tu hakupigwa shaba ya mguuni badala ya kifuani au kichwani?
sawa mkuu, nitaondoka na busara zangu, lakini si zote......nyingine kidogo nakuachia wewe ndugu yangu kipenzi.Busara peleka kwenu!
Kibiti Ni shaba tu!
Mbona wao hawatumii busara wakiua wananchi??
Wameua basi!? Hamna lolote ... eti siku zote wanawauwa hamna miili tunayoiona wala nini.... hizo silaha tu tunaoneshwa ingekuwa kweli tungeoneshwa na miili ya hao watu..Hell no. .that shouldn't be the way!