Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamna mkuu. wakitoka mafichoni wanakuja kuchukua roho zetu zaidi hata kama nao watakufa. kwao kufa ni thawabu, sisi tukifa ni balaa!Busara ipi??
Kuwatangaza ndo technique ili hao wenye hasira watoke nje ya maficho wapate kibano vizuri!!
Acha kukariri sheria. Jua kwamba kuna mahali panatoa condition uue. Ingekuwa wahalifu wote wanauawa si jela zingekuwa empty?Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Hapo ningeamini lakini hapo ni silaha tu ...Tunaomba picha zao ziwekwe,
Itakua ni peponi lazima...(kwa imani yao lakini)Wapumzishwe panapostahili !
Tumebaki na maswaliJe, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.
Polisi wa leo hawataki ushahidi maana wanaogopa watawashinda!!!!Je, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.