Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Busara ipi??
Kuwatangaza ndo technique ili hao wenye hasira watoke nje ya maficho wapate kibano vizuri!!
hamna mkuu. wakitoka mafichoni wanakuja kuchukua roho zetu zaidi hata kama nao watakufa. kwao kufa ni thawabu, sisi tukifa ni balaa!
 
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....

Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......

Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.

Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Acha kukariri sheria. Jua kwamba kuna mahali panatoa condition uue. Ingekuwa wahalifu wote wanauawa si jela zingekuwa empty?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba picha zao ziwekwe,
Hapo ningeamini lakini hapo ni silaha tu ...
Tunadanganywa.. hawapo siriasi Jeshi linataka sifa. Hamna jambaz aliyeuwawa.

Kila tukio la namna hii likitokea watu wengi huwa hawaamini.
Ukweli ndio huo . Maigizo yanaendelea awamu hii ya 5
 
Usije mjini aka Kibiti utauawa hasa ukiwa na farasi wa matairi.
 
Hivi hakuna namna ya kuwakamata wakiwa hai angalau hata wawili, ili wasaidie jeshi la polisi.
Kwa mtindo wa kuwaua wote itakuwa ni kazi sana kuwatokomeza wahalifu.
 
Kule Uganda mseven aliweka PROPAGANDA ya kuwaaminisna watu,

Ikifika jumamosi wanatoa silaha kwenye ghala , wanaenda porini wanafyatua risasiiiii

Then wanatangaza kuwa majambazi yamenyang'anywa silaha hizi hapa,

Wao wameuwawa, picha za wafu si vema kuonesha kwa media,
wananchi wanashangilia kwa kiganda ,webale webale senttebbe museven, ssabasaja museven,

Africa hatari sana
 
Napata tabu sana na hizi habari....Katika Wilaya ya Kibiti kuna sehemu inaitwa Milaweni? Tangibovu.....sijui?

Sukari Yenu
 
Back
Top Bottom