Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2



Haya ni matope. Si akili.

Nyie ndo mlikuwa mnasema polisi wamelala watu wanazidi kuuawa sasa hivi mnaleta upuuzi tu.

Au na wewe ni mwenzao. Kama wamekosea kuua kawashitaki mahakamani. Jinger kabisa.


Polisi ueni hivyo vikorokoro
 
majibizano ya risasi bila hata polisi mmoja kujeluhiwa???
 
Nimecheka sana mkuu...hoja yangu ni kwa nini majina ya wenzetu tuu kila siku kwenye uhalifu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo majina mengine yapo kwenye uhujumu uchumi ! Escrow, richmond, epa, wafanyakazi hewa, vyeti fake, (mpaka Bank ya Kanisa na Maaskofu wamo) utakatishaji pesa
 
yeah ehe we have a right to agree or disagree,this is a good democracy in the making
 
Hakuna majeruhi/survivor hata mmoja tu asaidie kueleza kwa nini walikuwa (allegedly) wanavamia na kuua viongozi wa CCM tu? Kwanini tumewaua wote? Kwanini hata mmoja tu hakupigwa shaba ya mguuni badala ya kifuani au kichwani?
Mkuu umeiweka vibaya hoja yako, hawakuuwawa badi kulikuwa na majibizano ya risasi kati ya polisi na hao jamaa in the process ndipo wakufa ni criminal action.
Kuuwawa kwa maana uliyomaanisha ni kwamba walikamatwa, badala ya kuwafikisha kwenye usalawa kaliuliwa, kitu ambacho si sahihi.
 
Tuache siasa kwenye mambo ya ustawi wa nchi. Hii agenda kama wapinzani wataendelea kuibeba wanavyotaka kuibeba wasije mlaumu mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kuna namna! Haiwezekani polisi kila siku watuhumiwa wanauawa bila kufikishwa mahakamani. Toka operesheni hii imeanza polisi haijawahi kumkamata mhalifu hata mmoja akiwa hai na kumfikisha mahakamani. Hivi ni kweli kwamba kila siku hawa wahalifu wanafia njiani wakipelekwa hospitali!? Hivi haiwezekani kabisa kuwakamata baadhi yao wakiwa hai na kuwatumia hao ili kuumaliza mtandao wote wa uhalifu? Ikumbukwe kuwa jukumu la polisi siyo kuhukumu kwani hii ni kazi ya mahakama. Sasa haiingii akilini kuwa kila siku hakuna hata mhalifu mmoja anayekamatwa akiwa hai. Kuna ukungu mzito juu ya jambo hili na tusubiri ipo siku ukweli utajulikana. Mungu ikinge nchi yetu na mabalaa na hizi fitna na muangamize kila mwenye nia ovu na Watanzania.
 
Una uhakika gani kuwa hakuna mtuhumiwa aliyekamatwa akiwa hai? Huyo Abajani aliyewapeleka polisi maficho yao alikuwa maiti? Acha kushabikia mambo usiyoyajua.
 
Ww ulitakaje? Kwanza wapelekwe mahakaman kufanya nn?
Roho zisizo na hatia walizozitoa walizipeleka mahakaman?

Naona hizi habar ni mbaya sana kwenu maana mlitegemea kwamba mtaendelea kuua watu lakn kiama chenu kimefika.
Mtakwisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…