Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Abuu Maryam na Abuu Salma maanake Baba Maryam na Baba Salma respectively.
Thanks Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abuu Maryam na Abuu Salma maanake Baba Maryam na Baba Salma respectively.
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Tulitaka unavotaka wewe
Duh basi sawaWalitaka wewe dada yao mkuu na wewe ushtukie uongo.
majibizano ya risasi bila hata polisi mmoja kujeluhiwa???Wanapeleka watu kule na kuwapiga risasi na kuwawekea bunduki na silaha halafu wanajitekenya kuwa tumeua majambazi kibiti. Ndio tatizo la afrima uongo mwingi kwa kuogopa kufukuzwa kazi. Kwani unafukuzwa kazi pasipo hata kuchunguza kosa. Hakuna majambazi ambao tunaambiwa ni waliobobea na wamepata mafunzo nje leo hii wakae pmj. Watu wanapelekwa kibiti wanauwawa then polisi wanasingizia majambazi wa kibiti. Tusubiri muda utasema ndio polisi tanzania
hivii sikuhizi hakuna sheria ni UWA NIKUUWE ETIEE??? mahakama kazi yake ni nini?Good move, moto wa Sirro huo
ndo tumefikia hapa weledi wa polisi ni kumalizana kwa kuuwa etiee?Kila la heri polisi , hatutegemei tena kusikia mauaji ya raia wasio na hatia .
hivii sikuhizi hakuna sheria ni UWA NIKUUWE ETIEE??? mahakama kazi yake ni nini?
Hayo majina mengine yapo kwenye uhujumu uchumi ! Escrow, richmond, epa, wafanyakazi hewa, vyeti fake, (mpaka Bank ya Kanisa na Maaskofu wamo) utakatishaji pesaNimecheka sana mkuu...hoja yangu ni kwa nini majina ya wenzetu tuu kila siku kwenye uhalifu
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah ehe we have a right to agree or disagree,this is a good democracy in the makingHivi kwani hizi taarifa tunazosoma sio rasmi? Taarifa inasema walikuwa 'wanarushiana risasi'. Silaha za moto zimekamatwa, tena kwenye eneo tete kama hilo, je wataka nini tena hapo ndgu? Labda tuache kuamini hii habari kwanza ndipo tutaacha kuchangia. Otherwise tukatae kuamini hii taarifa iliyotolewa na polisi
ndo mnatumia shortcut😵 'twaafa'🙄Mahakama ni za WACHOCHEZI! Na WANAOHUJUMU UCHUMI.
Eeh, ni hoja gani hiyo ya kujadili hapo? yaan sawa na umenyanyua juu mkia wa mbwa alafu unauliza nanii yake iko wapi?Hili la majna kuwa upnde mmoja ni hoja ya msingi wala sio la kupepesa macho
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeiweka vibaya hoja yako, hawakuuwawa badi kulikuwa na majibizano ya risasi kati ya polisi na hao jamaa in the process ndipo wakufa ni criminal action.Hakuna majeruhi/survivor hata mmoja tu asaidie kueleza kwa nini walikuwa (allegedly) wanavamia na kuua viongozi wa CCM tu? Kwanini tumewaua wote? Kwanini hata mmoja tu hakupigwa shaba ya mguuni badala ya kifuani au kichwani?
Mnapennda kutia siasa kwenye kila kitu ee???Wabadili uongo huu ushakua outdated
Hili swali muulize kamandaMnapennda kutia siasa kwenye kila kitu ee???
Tuache siasa kwenye mambo ya ustawi wa nchi. Hii agenda kama wapinzani wataendelea kuibeba wanavyotaka kuibeba wasije mlaumu mtu.Una uhakika hizo grunets zimekutwa huko kwa hao majambawazi? mkuu wote sisi hatupendi kabisa tabia za hao wauwaji. Lakini pia tabia ya kutoa taarifa za ajabu ajabu ili kulinda ajira hazifai na hazileti imani juu ya usalama wetu.
Ngoja nikupe kisa kimoja. Miaka kadhaa huko nyuma kama sikosei RPC akiwa huyo bwana mkubwa kabisa wa sasa au yule aliyekuja mpokea, aliitisha press na akawaonyesha silaha zilizo kamatwa kwenye matukio ya ujambazi. Bahati mbaya kwake mwandishi mmoja mtukutu akachukua namba za moja ya silaha zile zilizo onyeshwa. Cha kushangaza ni kuwa baada ya muda kukatokea tukio linguine na RPC yuleyule akaitisha press na moja ya silaha alizoonyesha pale ni ile ambayo mwandishi alichukua namba yake. Mwandishi akahoji iweje silaha iliyokwisha kamatwa katika tukio la miezi michache nyuma leo tena inakamatwa kwenye tukio lingine la uhalifu?
Ile press conference iliharibikia hapohapo. Nadhani umenielewa. Kuna mambo yanaendelea kwa siri ili kulinda kazi za watu bila kujali maisha ya wengine.
Mkuu umeiweka vibaya hoja yako, hawakuuwawa badi kulikuwa na majibizano ya risasi kati ya polisi na hao jamaa in the process ndipo wakufa ni criminal action.
Una uhakika gani kuwa hakuna mtuhumiwa aliyekamatwa akiwa hai? Huyo Abajani aliyewapeleka polisi maficho yao alikuwa maiti? Acha kushabikia mambo usiyoyajua.Hapa kuna namna! Haiwezekani polisi kila siku watuhumiwa wanauawa bila kufikishwa mahakamani. Toka operesheni hii imeanza polisi haijawahi kumkamata mhalifu hata mmoja akiwa hai na kumfikisha mahakamani. Hivi ni kweli kwamba kila siku hawa wahalifu wanafia njiani wakipelekwa hospitali!? Hivi haiwezekani kabisa kuwakamata baadhi yao wakiwa hai na kuwatumia hao ili kuumaliza mtandao wote wa uhalifu? Ikumbukwe kuwa jukumu la polisi siyo kuhukumu kwani hii ni kazi ya mahakama. Sasa haiingii akilini kuwa kila siku hakuna hata mhalifu mmoja anayekamatwa akiwa hai. Kuna ukungu mzito juu ya jambo hili na tusubiri ipo siku ukweli utajulikana. Mungu ikinge nchi yetu na mabalaa na hizi fitna na muangamize kila mwenye nia ovu na Watanzania.
Ww ulitakaje? Kwanza wapelekwe mahakaman kufanya nn?Hapa kuna namna! Haiwezekani polisi kila siku watuhumiwa wanauawa bila kufikishwa mahakamani. Toka operesheni hii imeanza polisi haijawahi kumkamata mhalifu hata mmoja akiwa hai na kumfikisha mahakamani. Hivi ni kweli kwamba kila siku hawa wahalifu wanafia njiani wakipelekwa hospitali!? Hivi haiwezekani kabisa kuwakamata baadhi yao wakiwa hai na kuwatumia hao ili kuumaliza mtandao wote wa uhalifu? Ikumbukwe kuwa jukumu la polisi siyo kuhukumu kwani hii ni kazi ya mahakama. Sasa haiingii akilini kuwa kila siku hakuna hata mhalifu mmoja anayekamatwa akiwa hai. Kuna ukungu mzito juu ya jambo hili na tusubiri ipo siku ukweli utajulikana. Mungu ikinge nchi yetu na mabalaa na hizi fitna na muangamize kila mwenye nia ovu na Watanzania.