Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Wametoa roho za watu na hakuna hukumu! Hii haijakaa sawa
 
majambaz sio watu wazuri hata kidogo! Acha tu watangulie kwenye hukumu.
 
Je, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.
Wangekuwa tayari kujisalimisha yasingewakuta hayo.wapumzike panapostahili.
 
Nimekuelewa
 
Bunduki zipo pikipiki zipo lakini majambazi waliouawa hawaonekani! Dah! Sanaa zingine bhana
 
wewe una uhakika na unachoandika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu..

Wewe wenzako wanauliwa huko kibiti afu unasema mambo ya kuenforce law...

Hii inaitwa "Disparar Para Matar a la mision" ...[emoji379].. "Shoot to kill mission"
 
Inawezekanaje mtu amiliki siraha kinyume na taratibu hasa eneo korofi kama kibiti halafu haitoshi akawa anajibishana risasi na polisi uje hapa umtetee kuwa yeye ni innocent?
Hizo silaha hazina record yoyote nchini ? Hakuna mahali zinaonekana kuingia bongo?? Au ziliibwa mahali ??
 
Kabisa! kabisa!
 
Hivi wameshindwa kumkabili hata mmoja ili abaki kwa ushahidi.Kazi ipo.
 

Labda wewe tueleze ungewakamata vp ikiwa nao wana siraha na wamekaidi amri ya kujisalimisha mkuu?
 
Hakuna majeruhi/survivor hata mmoja tu asaidie kueleza kwa nini walikuwa (allegedly) wanavamia na kuua viongozi wa CCM tu? Kwanini tumewaua wote? Kwanini hata mmoja tu hakupigwa shaba ya mguuni badala ya kifuani au kichwani?
Hata mimi ningekuwa askari ningefyeka wote kila mmoja risasi nane hao mbwa hakuna cha kupiga risasi ya mguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…