1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Je, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.
Hao maharamia na majambawazi ni wanyama kwa vitendo vyao vya kinyama.
Hakuna haja ya kuwapeleka gerezani ili wale ugali wa bure.
Siafu wakiingia ndani ya nyumba dawa yao ni sumu ya kuwaua tu sio kumkamata mmoja ili upate wengine!!
Hao kwa unyama wao hawama haja ya kuonewa huruma mbinguni na duniani!!
Wangekua wastaarabu wangejisalimisha wenyewe na kukiri kuachana na uovu wao huo.
Wakijisalimisha basi wahojiwe lakini wakikaidi na kumiliki silaha basi hakuna namna zaidi ya kuwapunguza tu. Kama walikua 10000 sasa wanazidi kupungua na mpaka wataisha.
Nampongeza Amiri jeshi mkuu, IGP na jeshi letu la polisi kwa juhudi zake za kupambana na wale wote wanaovuruga amani ya nchi.