Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Je, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.

Hao maharamia na majambawazi ni wanyama kwa vitendo vyao vya kinyama.
Hakuna haja ya kuwapeleka gerezani ili wale ugali wa bure.

Siafu wakiingia ndani ya nyumba dawa yao ni sumu ya kuwaua tu sio kumkamata mmoja ili upate wengine!!

Hao kwa unyama wao hawama haja ya kuonewa huruma mbinguni na duniani!!

Wangekua wastaarabu wangejisalimisha wenyewe na kukiri kuachana na uovu wao huo.
Wakijisalimisha basi wahojiwe lakini wakikaidi na kumiliki silaha basi hakuna namna zaidi ya kuwapunguza tu. Kama walikua 10000 sasa wanazidi kupungua na mpaka wataisha.

Nampongeza Amiri jeshi mkuu, IGP na jeshi letu la polisi kwa juhudi zake za kupambana na wale wote wanaovuruga amani ya nchi.
 
nimekusoma mkuu. hata mimi ni mlevi wa speed sana especially ninapokuwa na gari yenye engine kubwa na yenye kuruhusu mbio. nilikuja bongo mara moja nikawa na drive kwenda kijijini, nilipigwa torch zaidi ya kumi. nilivyofika Dodoma tukazinguana na traffic...wakanisweka ndani. wakaniachia baada ya masaa 3 baada ya kuomba niongee na RPC. kwa huko nyumbani tz, raha ya kuendesha gari haipo tena...
Imekuwa mwendo wa harusi siku hizi

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mimi naomba shahidi aliye sikia majibizano ya risasi atuambie ilikuaje maana yale ya Mwanza tulipata mrejesho kutoka kwa majiran eneo la tukio
 
Badala watuoneshe miili ya majambazi wao wanatuonesha mitutu. Tutajuaje kama hiyo mitutu ni ya majambazi au ni ya kwao tu wameamua kutwanga nayo selfie kusakia kiki?

Baada ya hapo hatusikii lolote kuhusu hao majambazi, sijui huwa wanaficha na kuwakabidhi fisi washughulike!

Bila picha na taarifa juu ya wahusika sitokaa niamini hii kitu. Bora wakae kimya tu, wengine wana vitambi kama ngoma za kijiji. Wanachokimudu ni kupambana na raia wema tu...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
mkuu... kumbe hilo ndilo lengo lenyewe?
kweli kufa kufaana....
dokta anataka watu waugue!
mchonga jeneza anataka watu wafe!
hakimu anataka watu washitakiwe!
mwenye chuo cha QT anatamani failure wengi std 7!
masikini anapata faraja (siyo ahueni ya maisha) akiona tajiri anafilisika - kama ilivyo Tz sasa hivi!
mengine ongezeeni.......
Hii ndio Tanzania mpya, tena ya viwanda....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....

Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......

Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.

Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......

Ivi unawezaje kumkamata mtu anaekufyatulia risasi? Kama wewe ungekuwa polisi ungetumia njia gani kuwakamata hawa watu wakiwa hai?
Basi kama ni hivo ilibidi polisi nao wasiruhusiwe kuwa na bunduki, maana hata wakimuua jambazi ni kosa!
 
mirisho pm hapa juu umenena,polisi why they cant arrest them na kuwapeleka mahakamani?watu kama kawaida yetu tunafurahia mihemko,je kama polisi wameua raia wema tutathibitisha vipi?kumbukeni wale wa pale sinza kumbe walikuwa wafanyabiashara sio majambazi.
 
Kama unazani majibizano ya Kurushiana Karanga nenda sikumoja!

Mkuu risasi sio sawa na mishale kwamba inarushwa kimyakimya lazima kunakua na milipuko hivyo hata kama umejificha uvunguni lazima unakua unasikia vishindo vyake
 
Sanaa na usanii unaendelea. Kila siku picha za silaha tu, waliouwawa hawaonekani.
 
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....

Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......

Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.

Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Dah sijawahi pitia comment chafu kama hii mwaka huu 2017, hivi wewe wamagharibi wamekupa nini ndugu, hivi damu za watu wangapi zimemwagika kibiti? Na huwezi jua labda kuna ndugu yako wa damu kauliwa na majambazi kibiti maana siri ya uwepo wa watoto ajuaye baba siyo mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu risasi sio sawa na mishale kwamba inarushwa kimyakimya lazima kunakua na milipuko hivyo hata kama umejificha uvunguni lazima unakua unasikia vishindo vyake
Hivi ulisha wahi tembelea Kibiti wewe!!
Hawa watu hujificha kwenye vichaka vikubwa vikubwa
pia ukumbuke kuwa Pwani inaeneo kubwa sana lenye misitu misitu
 
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....

Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......

Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.

Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Unawezaje kumkamata mtu mwenyebunduki ambae anakushambulia wakati unajaribu kumkamata.
Au utasubiri mbaka aishiwerisasi ndio ukamkamate na mikono.

Wakalazwe wanapo stahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.
We kweli chachu....

Braza majibizano unataka wasiwaue teena... sema watuoneshe picha za miili ya wafu

Sent from "La -Vista"
 
Wanakosea kuua wote kwa pamoja hawatapata information ya wahalifu waliko wengine zaidi inatakiwa usiue kwanza wanateswa kisawasawa wanawapa habari zaidi then unawapotezaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhh unadhani wameua hata mmoja? Wao kila siku ni aidha wanaua yote, yanakimbia yote, au wanaua baadhi na mengine yanakimbia. Hakuna siku wanasema wamejeruhi jambazi hata moja lisaidie upelelezi, baada ya hapo tunaoneshwa mitutu "WANAYODAI" imepatikana, wanakusanya kiki na show inaishia pale, then mauaji yanaendelea kawaida...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom