Justice minister
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,173
- 823
Ni kama maigizo, kwamba igp ameenda kibiti ndio majambazi hewa wameuawa. Kichekesho ni kuonesha pikipiki na bunduki kama ushahidi wa kuwauwa majambazi!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa ni jinai, je ni halali polisi nao kufanya jinai!!?Walipouawa polisi kibiti ilikuwa judicial killing?
Watu wengi mnaoongea hivi nyuma ya keyboard mnafikiri kwenye kukabiliana na magaidi yenye mafunzo na itikadi kali ni that simple fikirieni kwa akili sio makaliokuna wakati, mnaweza kusema baadhi ya watanzania ni vigeugeu lakini si kweli...unajua swala la kuua si kutibu tatizo kibiti, polisi mnaweredi mkubwa sana kwenye maswala ya usalama nadhani hata sheria zinasema hamtakiwi ku-ua unless maji yamefika shingoni..kwanini kati ya washukiwa 13 muwauwe wote? mbona msiwakamate ili wawa saidie katika upelelezi,,sisi watanzania si wanafki ila tunawashauri katika namna ya kutatua tatizo kibiti!
Sent using Jamii Forums mobile app
Majibizano hayo hakuna Polisi aliyejeruhiwa duh! pengine hao Jamaa walijificha na Njaa ikawaumbua wakajitokeza kizembe na kichovu
Picha zao
Hoja zako ni za kipumbavu ukiona damu ndio utaamini?mkuu
ktk picha zote hizo sijaona hata tone moja la damu.... na hizo silaha zinaonekana zimetolewA sehemu salama...
ina maana hao majambazi yalipigwa risasi bila taharuki yoyote na kufa hapo hapo....
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Heko Jeshi la polisiWatu 13 wanaodaiwa kuwa ahalifu wameuawa na Askari wa Jeshi la Polisi. Watu hao wamekutwa na Bunduki nane, Pikipiki mbili pamoja na Begi moja la nguo.
Tukio hilo limetokea katika maeneo ya Tangibovu Kijiji cha Milaweni, huko Kibiti Mkoani Pwani.
View attachment 562464 View attachment 562465
View attachment 562467
View attachment 562466
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas kuhusiana na tukio la kuuawa wahalifu 13 katika majibizano ya risasi baina ya Polisi na wahalifu hao katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafaya Kibiti.Chini ni silaha 8 aina ya SMG pamoja na vifaa vingine zilizopatikana katika majibizano hayo.
Chanzo: Jeshi la Polisi Tanzania(Ukurasa wa Twitter)
--------------
UPDATES..
Orodha ya Majina ya wahalifu 7 kati ya 13 waliouawa leo na Jeshi la Polisi eneo la Tangibovu ktk Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani
![]()
Unamfanyaje mtuhumiwa mwenye AK47 na yuko tayari kuitumia? Hii sio mara ya kwanza wala ya mwisho mtuhumiwa kuuawa duniani.Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Kama ni jinai basi nenda kafungue shauri mahakamani upate ufafanuzi kuwa ni jinsi gani kitendo hicho ni mercy killingIlikuwa ni jinai, je ni halali polisi nao kufanya jinai!!?
Well saidNaona tide inaanza kubadilika sasa. That is what we needed apl along. Wapuuzi wachache hawawezi kuharibu ustaarabu wa Taifa letu wakaachwa wabaki salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo upelelezi unaujua au unasikiaga tu waachie wenyewe naamini tu haya uliyoyaandika hapa ni haki yako ibara ya 18 Uhuru wa maoni ambao pia una mipaka au ukomokuna wakati, mnaweza kusema baadhi ya watanzania ni vigeugeu lakini si kweli...unajua swala la kuua si kutibu tatizo kibiti, polisi mnaweredi mkubwa sana kwenye maswala ya usalama nadhani hata sheria zinasema hamtakiwi ku-ua unless maji yamefika shingoni..kwanini kati ya washukiwa 13 muwauwe wote? mbona msiwakamate ili wawa saidie katika upelelezi,,sisi watanzania si wanafki ila tunawashauri katika namna ya kutatua tatizo kibiti!
Sent using Jamii Forums mobile app