Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Ni kama maigizo, kwamba igp ameenda kibiti ndio majambazi hewa wameuawa. Kichekesho ni kuonesha pikipiki na bunduki kama ushahidi wa kuwauwa majambazi!.
 
kuna wakati, mnaweza kusema baadhi ya watanzania ni vigeugeu lakini si kweli...unajua swala la kuua si kutibu tatizo kibiti, polisi mnaweredi mkubwa sana kwenye maswala ya usalama nadhani hata sheria zinasema hamtakiwi ku-ua unless maji yamefika shingoni..kwanini kati ya washukiwa 13 muwauwe wote? mbona msiwakamate ili wawa saidie katika upelelezi,,sisi watanzania si wanafki ila tunawashauri katika namna ya kutatua tatizo kibiti!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi mnaoongea hivi nyuma ya keyboard mnafikiri kwenye kukabiliana na magaidi yenye mafunzo na itikadi kali ni that simple fikirieni kwa akili sio makalio
 
Majibizano hayo hakuna Polisi aliyejeruhiwa duh! pengine hao Jamaa walijificha na Njaa ikawaumbua wakajitokeza kizembe na kichovu

mkuu
ktk picha zote hizo sijaona hata tone moja la damu.... na hizo silaha zinaonekana zimetolewA sehemu salama...

ina maana hao majambazi yalipigwa risasi bila taharuki yoyote na kufa hapo hapo....
 
mkuu
ktk picha zote hizo sijaona hata tone moja la damu.... na hizo silaha zinaonekana zimetolewA sehemu salama...

ina maana hao majambazi yalipigwa risasi bila taharuki yoyote na kufa hapo hapo....
Hoja zako ni za kipumbavu ukiona damu ndio utaamini?
Huko vichakani hiyo damu inaionaje au unadhani hiyo ni kama ajali kila mahali damu imetapakaa?
 
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....

Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......

Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.

Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......

Hivi ingekuwa ni wewe umekutana na watu wamebeba hizo silaha KIBITI (narudia silaha KIBITI) ungefanya nini?
 
Unamkamataje mtu mwenye AK47 na yuko tayari kuitumia?!
 
Polisi wana bahati sana wanajua namna ya kukwepa risasi, maana kwenye majibizano hayo ya risasai hakuna hata polisi mmoja aliyejeruhiwa!!

# Si rahisi kuwaamini polisi bongo.
 
Watu 13 wanaodaiwa kuwa ahalifu wameuawa na Askari wa Jeshi la Polisi. Watu hao wamekutwa na Bunduki nane, Pikipiki mbili pamoja na Begi moja la nguo.

Tukio hilo limetokea katika maeneo ya Tangibovu Kijiji cha Milaweni, huko Kibiti Mkoani Pwani.
View attachment 562464 View attachment 562465
View attachment 562467
View attachment 562466
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas kuhusiana na tukio la kuuawa wahalifu 13 katika majibizano ya risasi baina ya Polisi na wahalifu hao katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafaya Kibiti.Chini ni silaha 8 aina ya SMG pamoja na vifaa vingine zilizopatikana katika majibizano hayo.
Chanzo: Jeshi la Polisi Tanzania(Ukurasa wa Twitter)
--------------

UPDATES..

Orodha ya Majina ya wahalifu 7 kati ya 13 waliouawa leo na Jeshi la Polisi eneo la Tangibovu ktk Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani
1be4dcb1030cefec4c7b5919ad64b788.jpg
Heko Jeshi la polisi
 
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....

Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......

Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.

Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Unamfanyaje mtuhumiwa mwenye AK47 na yuko tayari kuitumia? Hii sio mara ya kwanza wala ya mwisho mtuhumiwa kuuawa duniani.
 
Ilikuwa ni jinai, je ni halali polisi nao kufanya jinai!!?
Kama ni jinai basi nenda kafungue shauri mahakamani upate ufafanuzi kuwa ni jinsi gani kitendo hicho ni mercy killing

Sheria inaruhusu kuua katika mazingira hayo basi yauawe tu hayo majambazi

Hivyo basi kosa ni kitendo chochote kilichokatazwa na sheria kukiwa na nia ovu na bila kuwa na utetezi wa kufanya hivyo mbele ya mahakama.

Hivi ukikutana na jambazi ana bunduki kaikoki tayari na wewe una bunduki unafanyeje? Tafakari
 
kuna wakati, mnaweza kusema baadhi ya watanzania ni vigeugeu lakini si kweli...unajua swala la kuua si kutibu tatizo kibiti, polisi mnaweredi mkubwa sana kwenye maswala ya usalama nadhani hata sheria zinasema hamtakiwi ku-ua unless maji yamefika shingoni..kwanini kati ya washukiwa 13 muwauwe wote? mbona msiwakamate ili wawa saidie katika upelelezi,,sisi watanzania si wanafki ila tunawashauri katika namna ya kutatua tatizo kibiti!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo upelelezi unaujua au unasikiaga tu waachie wenyewe naamini tu haya uliyoyaandika hapa ni haki yako ibara ya 18 Uhuru wa maoni ambao pia una mipaka au ukomo
 
Back
Top Bottom