gamaweshi belo
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 453
- 173
Hiyo ni shoot to killMbona hao wahalifu wakikamatwa hamna anaekuwa haiii lazima wafe kulikoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni shoot to killMbona hao wahalifu wakikamatwa hamna anaekuwa haiii lazima wafe kulikoni
Ni kazi nzuri wamepunguza idadi ya majambazi angalau uhalifu utapungua pia eneo hilo, Pongezi kwa askari wetu.Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Toilet paper....not useful anymore.Kuna jambo moja wangetusaidia kutuelewesha. Siku hizi kila mhalifu anayewapeleka polisi maeneo ya tukio kuwaonyesha wengine wako wapi naye anaishia kufa katika mapambano "kwa kujeruhiwa na kuvuja damu nyingi"
Jee huwa anapowapeleka huko halindwi ili asidhurike?
Hivi mnataka miili ya nini? Mpige nayo picha au? Acheni kuwa kama Tomaso. Ya nini kuonyesha miili iliyopigwa au kujeruhiwa vibaya na risasi kwenye media? Kama hamuamini wameuawa basi subirini wafufukeWameua basi!? Hamna lolote ... eti siku zote wanawauwa hamna miili tunayoiona wala nini.... hizo silaha tu tunaoneshwa ingekuwa kweli tungeoneshwa na miili ya hao watu..
MAIGIZO YANAENDELEA
Kuna watu wanamaneno mecheka sanaWasiliana na Kamanda Sirro
kama mtuhumiwa kamtaja Juma kama mshirika wake ulitaka waongeze na John kuleta balance??? Hicho kichwa ulipewa ukitumie kwa mambo mengi sio kushikilia macho tu yakusaidie kutazama magari wakat wa kuvuka barabara
Kwenye mapambano ya silaha ni kufa na kupona, usipoua unauawa.Mbona hao wahalifu wakikamatwa hamna anaekuwa haiii lazima wafe kulikoni
Mkuu umejiandaa maana naona unawaita ufipa kwa nguvu waje wakumiminie povu.
Inaelekea wewe u mmoja waoMi nikionyeshwa maiti zao tu nitawaamini
Hapana! Walikuwa ni viongozi wa dini wanaomiliki silaha za moto. Si ndivyo mnavyotaka kujibiwa? Kama hawakuwa majambazi, walikuwa wanafanya nini na bunduki 8? Au walikuwa walinzi wa msituni?Ni kweli waliouawa walikuwa majambazi!!?
Ndio. Subiri zitue home kwako baada ya ufufuomaiti zimepaa??
hapa hata mimi huwa nashangaa, iweje walie nae (polisi) watoke salama ila aliye wapeleka auaweKuna jambo moja wangetusaidia kutuelewesha. Siku hizi kila mhalifu anayewapeleka polisi maeneo ya tukio kuwaonyesha wengine wako wapi naye anaishia kufa katika mapambano "kwa kujeruhiwa na kuvuja damu nyingi"
Jee huwa anapowapeleka huko halindwi ili asidhurike?
Una uhakika? Basi kama wewe ni wa imani nyingine kajiunge nao ili kuleta balance ya waaminio