Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Wakisha kupa hiyo picha wewe itakusaidia nini? Unajua kuna vitu vingine hata ukivifikiria tu havina mantiki,

Kama una ndugu yako kapotea kapeleke taarifa police station.

Polisi wa nchi nyingine wanatoa picha hili kama kuna genge linaloshirikiana na wahalifu litajwe.
Kwavile wamezoea kutudanganya ndio maana hawana picha. Ovyo kabisa
 
ushahidi upo wapi wa kuthibitisha walikuwa wanawarushia risasi polisi?kitendo cha kuuwa watuhumiwa 13 sio cha wewe kukifurahia ,ni kitendo kinachoonyesha jeshi lako la polisi linazidi kuwa katiri na halina intelligence ya ti infiltrate mtandao huu wa ugaidi,polisi wanamafunzo waliyopewa ya kukabiliana na watumia silaha za moto,why hawakuita back up ili isaidie?,sasa umeua watu 13 ambao mimi na wewe hatuna hard evidence ya kuthibitisha ugaidi wao,na kwako ni furaha kubwa,we need a police watakao kuwa wanatekeleza kiapo cha kulinda raia,wanalazimika kutumia nguvu once maisha yao yanapokuwa hatarini na maisha ya raia wengine,waulize watuonyeshe picha za wahalifu waliouawa,kumbuka uvamizi wa msikiti pale Lindi recently je tumepewa taarifa rasmi kutoka polisi?
Hivi kwani hizi taarifa tunazosoma sio rasmi? Taarifa inasema walikuwa 'wanarushiana risasi'. Silaha za moto zimekamatwa, tena kwenye eneo tete kama hilo, je wataka nini tena hapo ndgu? Labda tuache kuamini hii habari kwanza ndipo tutaacha kuchangia. Otherwise tukatae kuamini hii taarifa iliyotolewa na polisi
 
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....

Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......

Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.

Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Police can only do that when the suspect submit to the orders of the police force. It is also a way to enforce law and order in circumstance where the suspects are armed. It is for this reason, the police are trained not only to arrest living suspects but also to respond accordingly in circumstances where they are are armed and fight against the police. Depending on circumstance, the law allows them to defend themselves. It is for that reasons they are always budgeted to be given different kinds of weapons. I celebrate the victory.
 
Wewe inaonekana una kitu unakijua hapa na unaweza kuwa msaada kwa police, Nafurahi unajionea matunda ya huo utaahira mnaokaririshana huko mnapojazana ujinga na mtaendelea kula shaba mpaka kiama.
Unasumbuka:kwani hutambui ni haki yangu kutoa maoni! Acha tabia za kiccm!! Tena huo ujinga unitolee mie huwezi kuntisha mimi nilaia mwema acha wewe unaejificha kwenye kivuli cha kujiita mwana ccm!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upande wangu nimekuwa nikibakiwa na maswali tangu haya mambo yalipoanza kuripotiwa,
Hao wanaoitwa wahalifu/majambazi na wauwaji - ni sababu ipi haswa iliwapelekwea kuwa na ujasiri wa hadi kufikia kuvamia kituo cha jeshi la polisi na kupora silaha?
Ni sababu ipi iliwapa ujasiri wa kuwauwa walinda usalama wetu na watumishi wa jamii?
Hawa jamaa ni wakina nani tofauti na majina yao? Mafunzo ya kupambana na walinda usalama wamepata wapi?
Na hawa watuhumiwa - kuna yeyote aliewahi kukamatwa akiwa hai?
Tanzania yetu ya amani inaelekea wapi?
Hivi ni nini haswa kinaendelea huko?
 
Kuna jambo moja wangetusaidia kutuelewesha. Siku hizi kila mhalifu anayewapeleka polisi maeneo ya tukio kuwaonyesha wengine wako wapi naye anaishia kufa katika mapambano "kwa kujeruhiwa na kuvuja damu nyingi"
Jee huwa anapowapeleka huko halindwi ili asidhurike?
Halafu hakuna askari aliyejeruhiwa huku wakisema walikuwa wakijibizana kwa risasi, INA maana hao watu walikuwa wakipiga risasi hewani, afu ilikuwa usiku waliwaonaje wote 13? Hao waliouwawa walikuwa wachoma mkaa tu au wavamizi wa misitu hakuna cha majambazi wala nini, jambazi haishi maisha ya kimasikini namna hiyo, kuishi kwenye Nyumba ya nyasi na udongo...huyu IGP anatufanyia usanii kwa vile naye ni mpenda kiki kwa pikipiki.

Hayo majina yawekwe hadharani na ili yachambuliwe wasifu wao na wananchi wa eneo husika kama ni kweli walikuwa ni majambazi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasumbuka:kwani hutambui ni haki yangu kutoa maoni! Acha tabia za kiccm!! Tena huo ujinga unitolee mie huwezi kuntisha mimi nilaia mwema acha wewe unaejificha kwenye kivuli cha kujiita mwana ccm!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikiangalia kila kitu kwa jicho la kisiasa utakua huna utimamu, kwanza sina chama kisha nikushauri endelea kujikita kwenye hizo itikadi zenu za kifala you will be next
 
i.Anafi Rashid Kapelo @ Abuu Mariam
ii. Hassan Haruna Kyakalewa @ Abuu Salma @ Shujaa @ Dokta

Nashauri uchunguzi wa kina ufanyike, Haya majina Abuu yanaashiria nini na Mariam na Salma yanaashiria nini pia

Historia yao ichunguzwe kwa kina kubaini mahusiano yao na waliouawa na watu wengine baki walioko mtaani, hii itasaidia kubaini mambo mengine outside the box
 
Wanapeleka watu kule na kuwapiga risasi na kuwawekea bunduki na silaha halafu wanajitekenya kuwa tumeua majambazi kibiti. Ndio tatizo la afrima uongo mwingi kwa kuogopa kufukuzwa kazi. Kwani unafukuzwa kazi pasipo hata kuchunguza kosa. Hakuna majambazi ambao tunaambiwa ni waliobobea na wamepata mafunzo nje leo hii wakae pmj. Watu wanapelekwa kibiti wanauwawa then polisi wanasingizia majambazi wa kibiti. Tusubiri muda utasema ndio polisi tanzania
Una uhakika na hili hebu tuthibitishie
 
Back
Top Bottom