Deshmo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 4,819
- 4,263
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa "Nyani"
Wakisha kupa hiyo picha wewe itakusaidia nini? Unajua kuna vitu vingine hata ukivifikiria tu havina mantiki,
Kama una ndugu yako kapotea kapeleke taarifa police station.
Hivi kwani hizi taarifa tunazosoma sio rasmi? Taarifa inasema walikuwa 'wanarushiana risasi'. Silaha za moto zimekamatwa, tena kwenye eneo tete kama hilo, je wataka nini tena hapo ndgu? Labda tuache kuamini hii habari kwanza ndipo tutaacha kuchangia. Otherwise tukatae kuamini hii taarifa iliyotolewa na polisiushahidi upo wapi wa kuthibitisha walikuwa wanawarushia risasi polisi?kitendo cha kuuwa watuhumiwa 13 sio cha wewe kukifurahia ,ni kitendo kinachoonyesha jeshi lako la polisi linazidi kuwa katiri na halina intelligence ya ti infiltrate mtandao huu wa ugaidi,polisi wanamafunzo waliyopewa ya kukabiliana na watumia silaha za moto,why hawakuita back up ili isaidie?,sasa umeua watu 13 ambao mimi na wewe hatuna hard evidence ya kuthibitisha ugaidi wao,na kwako ni furaha kubwa,we need a police watakao kuwa wanatekeleza kiapo cha kulinda raia,wanalazimika kutumia nguvu once maisha yao yanapokuwa hatarini na maisha ya raia wengine,waulize watuonyeshe picha za wahalifu waliouawa,kumbuka uvamizi wa msikiti pale Lindi recently je tumepewa taarifa rasmi kutoka polisi?
Nimeona kitenge , tena kipya cha dukani.Ina maana majambazi yalikua na bunduki za kufyatulia gas cannisters
Maigizo maigizo
Police can only do that when the suspect submit to the orders of the police force. It is also a way to enforce law and order in circumstance where the suspects are armed. It is for this reason, the police are trained not only to arrest living suspects but also to respond accordingly in circumstances where they are are armed and fight against the police. Depending on circumstance, the law allows them to defend themselves. It is for that reasons they are always budgeted to be given different kinds of weapons. I celebrate the victory.Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Unasumbuka:kwani hutambui ni haki yangu kutoa maoni! Acha tabia za kiccm!! Tena huo ujinga unitolee mie huwezi kuntisha mimi nilaia mwema acha wewe unaejificha kwenye kivuli cha kujiita mwana ccm!!Wewe inaonekana una kitu unakijua hapa na unaweza kuwa msaada kwa police, Nafurahi unajionea matunda ya huo utaahira mnaokaririshana huko mnapojazana ujinga na mtaendelea kula shaba mpaka kiama.
Halafu hakuna askari aliyejeruhiwa huku wakisema walikuwa wakijibizana kwa risasi, INA maana hao watu walikuwa wakipiga risasi hewani, afu ilikuwa usiku waliwaonaje wote 13? Hao waliouwawa walikuwa wachoma mkaa tu au wavamizi wa misitu hakuna cha majambazi wala nini, jambazi haishi maisha ya kimasikini namna hiyo, kuishi kwenye Nyumba ya nyasi na udongo...huyu IGP anatufanyia usanii kwa vile naye ni mpenda kiki kwa pikipiki.Kuna jambo moja wangetusaidia kutuelewesha. Siku hizi kila mhalifu anayewapeleka polisi maeneo ya tukio kuwaonyesha wengine wako wapi naye anaishia kufa katika mapambano "kwa kujeruhiwa na kuvuja damu nyingi"
Jee huwa anapowapeleka huko halindwi ili asidhurike?
Huyo aliyewataja wenzake alikuwa amekufa??Mbona hao wahalifu wakikamatwa hamna anaekuwa haiii lazima wafe kulikoni
Ukikiangalia kila kitu kwa jicho la kisiasa utakua huna utimamu, kwanza sina chama kisha nikushauri endelea kujikita kwenye hizo itikadi zenu za kifala you will be nextUnasumbuka:kwani hutambui ni haki yangu kutoa maoni! Acha tabia za kiccm!! Tena huo ujinga unitolee mie huwezi kuntisha mimi nilaia mwema acha wewe unaejificha kwenye kivuli cha kujiita mwana ccm!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una some issues ngoja nikuache.Umewahi pitia mafunzo yoyote ya kijeshi ndugu?
Polisi hawavai bullet proof.
i.Anafi Rashid Kapelo @ Abuu Mariam
ii. Hassan Haruna Kyakalewa @ Abuu Salma @ Shujaa @ Dokta
Haya majina ya waliouawa na wanaosakwa na police yote yana asili ya dini fulani. Kulikoni hapa. Nawaza tu
Una uhakika na hili hebu tuthibitishieWanapeleka watu kule na kuwapiga risasi na kuwawekea bunduki na silaha halafu wanajitekenya kuwa tumeua majambazi kibiti. Ndio tatizo la afrima uongo mwingi kwa kuogopa kufukuzwa kazi. Kwani unafukuzwa kazi pasipo hata kuchunguza kosa. Hakuna majambazi ambao tunaambiwa ni waliobobea na wamepata mafunzo nje leo hii wakae pmj. Watu wanapelekwa kibiti wanauwawa then polisi wanasingizia majambazi wa kibiti. Tusubiri muda utasema ndio polisi tanzania