cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
linaweza likawa changa la macho..chezea propaganda weweTunaomba picha zao ziwekwe,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
linaweza likawa changa la macho..chezea propaganda weweTunaomba picha zao ziwekwe,
Ww ulitakaje? Kwanza wapelekwe mahakaman kufanya nn?
Roho zisizo na hatia walizozitoa walizipeleka mahakaman?
Naona hizi habar ni mbaya sana kwenu maana mlitegemea kwamba mtaendelea kuua watu lakn kiama chenu kimefika.
Mtakwisha tu.
Critical thinkingNashauri uchunguzi wa kina ufanyike, Haya majina Abuu yanaashiria nini na Mariam na Salma yanaashiria nini pia
Historia yao ichunguzwe kwa kina kubaini mahusiano yao na waliouawa na watu wengine baki walioko mtaani, hii itasaidia kubaini mambo mengine outside the box
Una uhakika gani kuwa hakuna mtuhumiwa aliyekamatwa akiwa hai? Huyo Abajani aliyewapeleka polisi maficho yao alikuwa maiti? Acha kushabikia mambo usiyoyajua.
nahisi nimecheka kuliko weweNimecheka sana mkuu...hoja yangu ni kwa nini majina ya wenzetu tuu kila siku kwenye uhalifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilimkubali huyo jamaa kwa maneno toka jana.Kuna watu wanamaneno mecheka sana
Hivi kwani polisi kujeruhiwa ni suala la lazima eeh? Coz naona povu tu tangu uzi unanza. Umeshaambiwa jeshi lilishajiandaa/wazunguka hao wahalifu mapema, sasa hapo unategemea nn? Hivi sijui kwa nini wengine sample za mikojo humu zisichukuliwemajibizano ya risasi bila hata polisi mmoja kujeluhiwa???
😀Ndugu Wanahabari
Watuhumiwa 7 (Saba) kati ya 13 (kumi na tatu) waliopoteza maisha kutokana na majibizano ya risasi wametambuliwa kuwa ni:
1. Hassani Ali Njame
2. Abdallah Abdallah Mbindimbi @ Abajani
3. Saidi Abdallah Kilindo
4. Abdulshakuru Mohamed Ubuguyu
5. Issa Mohamed Mseketu mtawa
6. Rajabu Thomas roja
7. Mohamed Ally Kadude @Upolo
Miili 6 (sita) iliyobaki haikuweza kutambulika mara moja hivyo utambuzi utaendelea huko ilikohifadhiwa Hospitalini DSM.
Huu sio ujambazi, waislam wanaleta ile kitu inaitwa UGAIDIPicha za watuhumiwa hao zitasambazwa kote nchini ili iwe rahisi kuwabaini. Majina ya watuhumiwa hao ni:
i.Anafi Rashid Kapelo @ Abuu Mariam
ii. Hassan Haruna Kyakalewa @ Abuu Salma @ Shujaa @ Dokta
iii. Haji Ulatule
iv. Shekhe Hassan Nasri Mzuzuri
v. Rashid Mtutula
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
ungesoma kwa makini usingeandika hii kitu.Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Ndiyo maana hata Bashite analilia sana atangazwe na vyombo vya habari!!!!!!Sasa wasipo tangaza Magufuli na watanzania watajuaje kwamba Siro na vijana wake wanafanya kazi
read btn the lines brother, umeambiwa askari walipokuwa wakipelekwa kwenye maficho na mmoja wa wahalifu walijikuta katika tahaluki kubwa baada ya kuanza kurushiwa risasi, ambapo hata huyo(mhalifu) aliyekuwa anawapeleka alijikuta anajeruhiwa vibaya. Sasa ulitaka askari wafanyeje sasa?Je, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.
Hiyo sababu now imekuwa kawaida. Eti mara taharuki au mara alitaka kutoroka. Nadhani akishawapeleka si anabaki kwenye gari na mlinzi mmoja na anakuwa na pingu. Au wanaenda nae mpk kwenye chaka mita 4 kutoka washukiwa walipo.read btn the lines brother, umeambiwa askari walipokuwa wakipelekwa kwenye maficho na mmoja wa wahalifu walijikuta katika tahaluki kubwa baada ya kuanza kurushiwa risasi, ambapo hata huyo(mhalifu) aliyekuwa anawapeleka alijikuta anajeruhiwa vibaya. Sasa ulitaka askari wafanyeje sasa?
Kweli jamaa, mtu akiwa na bunduki anakulenga utasubiri procedures za kumkamata akiwa hai? PIGA SHABA MWACHE AKAFE MBELE....!!sijui kilichotokea, ila kama wewe ni raia mwema kwanini urushiane risasi na polisi?
mwananchi SMG unamiliki ya nini?